Huwa nagugumia kiume tu maana uwezo nilikuwa nao mkubwa tu wa kusoma degree ya hio IT na kwa kufaulu vizuri kuliko hata ambavyo nimefaulu kozi ya biashara niliochukua kama mbadala.Kweli the world is not fair ๐ ๐ ๐ ๐
Mkuu kumbe na wewe ni lijoblessHio certificate na diploma ni ipi ambayo serikali inachukuaga maana mie nina diploma ya IT ila sijawahi kuona kazi inayoniruhusu zaidi zote zinataka bachelor of computer science au zinazoelekeana
trust me there is more kwenye habari yeyote, binadamu ni complex creature... unakuta jamaa hana kazi serikalini ila ni self employed utamuita jobless sasa ๐Mkuu kumbe na wewe ni lijobless
hahahahahahahahahaMkuu kumbe na wewe ni lijobless
Hapo kusema ni nyingi sio kweli, Watu wana GPA zaidi ya hiyo na hawaelewi hawana kaziLakini vyuo vikuu/ Taasisi za Elimu ya Juu vinatangaza nafasi za kazi kila mara sujajua tatizo nini?! Kwamba maprofesa wamepungua sana ama wahadhiri wanahama kutoka vyuo vikuu kwenda Taasisi zingine?! Bahati mbaya ajira za kufundusha vyuo vikuu ni nyingi ila GPA ya 3.8 inaacha nje ya mstari wahitimu wengi wa degree
Mkuu,kumbe hauna degree?Hio certificate na diploma ni ipi ambayo serikali inachukuaga maana mie nina diploma ya IT ila sijawahi kuona kazi inayoniruhusu zaidi zote zinataka bachelor of computer science au zinazoelekeana
Mkuu mwaka huu zilitangazwa 4 tu TRA , VETA , MBEYA ,TPA ๐คฃHio certificate na diploma ni ipi ambayo serikali inachukuaga maana mie nina diploma ya IT ila sijawahi kuona kazi inayoniruhusu zaidi zote zinataka bachelor of computer science au zinazoelekeana
Usmart unapimwa kwa degree jmn[emoji28]Mkuu,kumbe hauna degree?
Amazing,.mbona unaonekana uko smart sana?
Sijui kwanini mnapenda kukaa kwenye simu na kuchat ujinga unashindwa kutafuta kazi zinazo tangazwa haya soma juzi tuu walitaka mtu mwenye certificate ya plumbing wewe unalala hakuna ajira .....๐ง๐ข๐ง๐ ๐๐ซ๐ญ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ ๐จ๐ ๐ฉ๐ฅ๐ฎ๐ฆ๐๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐ฉ๐ข๐ฉ๐ ๐๐ข๐ญ๐ญ๐ข๐ง๐ ๐ฆ๐๐จ๐ง๐ ๐ฌ๐ข๐ฃ๐๐ฐ๐๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฅ๐๐ฏ๐๐ฅ ๐ฒ๐๐ง๐ ๐ฎ, ๐ ๐ก๐จ๐ฉ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐๐ก๐จ ๐๐ง๐๐ข๐ค๐ ๐ง๐ข ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐๐ฅ๐๐ฆ๐ข๐ค๐ ๐๐ฎ๐ซ๐
Degree ipo mkuu na diploma pia ipo. Sema huwa sionagi hizo nafasi za diploma kama wasemavyo wadau.Mkuu,kumbe hauna degree?
Amazing,.mbona unaonekana uko smart sana?
Daah na imempita maskiniSijui kwanini mnapenda kukaa kwenye simu na kuchat ujinga unashindwa kutafuta kazi zinazo tangazwa haya soma juzi tuu walitaka mtu mwenye certificate ya plumbing wewe unalala hakuna ajira .....View attachment 2275907View attachment 2275908
Hahahaha๐๐๐๐๐, hapana mkuu inategemeana na uwezo wa kutumia simu, kama nimezoea kuingia jfm na kutoka, nitajuaje tovuti za ajira , sema kila kitu ni connectionSijui kwanini mnapenda kukaa kwenye simu na kuchat ujinga unashindwa kutafuta kazi zinazo tangazwa haya soma juzi tuu walitaka mtu mwenye certificate ya plumbing wewe unalala hakuna ajira .....View attachment 2275907View attachment 2275908
[emoji44]hiyo ajira portal huijui?Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hapana mkuu inategemeana na uwezo wa kutumia simu, kama nimezoea kuingia jfm na kutoka, nitajuaje tovuti za ajira , sema kila kitu ni connection
Binafsi nashangaa sana watu mnao intertain kuajiriwa kama last Friday nilikuwa na 2.7ml na nimetumia yote imeisha bila kununua hata chupi.. nafikiria ni kwa namna gani kuajiriwa ni utumwa yaniMkuu kumbe na wewe ni lijobless
Unashangaa watu wanao entertain kuajiriwa na umesema kuajiriwa ni utumwaBinafsi nashangaa sana watu mnao intertain kuajiriwa kama last Friday nilikuwa na 2.7ml na nimetumia yote imeisha bila kununua hata chupi.. nafikiria ni kwa namna gani kuajiriwa ni utumwa yani
Kujiajiri ni ngumu.. but once you get used to it hutotamani ajira kabisa
Mliobahatika kupata ajira tafuteni mikopo kwaajili ya kufanya biashara sio kununua ma crown [emoji146] kama first priority.. lakini pia usikimbilie mkopo kama hujafanya research ya kutosha kuhusu biashara ama mradi unataka kufanya.