Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

Mtoa mada umekosea kufanya hitimisho kwa Jambo usilo na uhakika nalo.
 
Degree nayo sa hv ni ya watu masikini. Bonge la ushuzi hili limechafua uzi wako.
 
Unashangaa watu wanao entertain kuajiriwa na umesema kuajiriwa ni utumwa

At the same time umeajiriwa


Sasa Mkuu si ungeacha kazi kwa nini unakubali kuteseka na utumwa tena jamani ?
Nani amesema ameajiriwa?.. [emoji23]

Vyeti vyangu vipo kabatini.. natumia profession yangu kutengeneza pesa pasipo kuajiriwa binafsi nimeshakataa kazi mbili

Yani iko hivi.. uki focus kujiajiri ndo wenye ofisi wanatamani kukuajiri.. sijui unanielewa?
 
Ahaa hapo sawa nimekuelewa mkuu
 
Mkuu,kumbe hauna degree?
Amazing,.mbona unaonekana uko smart sana?
Kwa hyo mtu kuwa smart n lazma awe na degree?,, Basi yule mzee kutoka jalalani alitakiwa awe smart sana mana ana PhD kabisa,,,, Kuna tatzo kwenye ubongo wako asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…