miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
asante kwa kutukumbusha.. nakusubiria kule unijibu mtani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa kutukumbusha.. nakusubiria kule unijibu mtani
Noted mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
Hatuwezi kukata tamaa kwa kuwa safari inazidi kunoga inakuwa yenye mafanikio, kila ukichoka unaongezewa nguvu mpya.Bado safari ni ndefu lakini tusikate tamaa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
asante sanaOoh OK OK sawa nitaenda huko
haya nitakuita kwenye hiyo postSorry mtani naomba nikumbushe post husika.... Sitaniii
umechanganya science na dini bila kujua. science umepatia uliposema binadamu chimbuko lao ni afrika mashariki. mengine ni hadithi za kiimani na kwa uelewa wa leo ni ngumu kukubali. 'ikawa mchana, ikawa usiku' binadamu wa enzi hiyo aliiona dunia ya alipo. binadamu wa upeo wa leo kwake ni usiku, geografia inamweleza nchi nyingine ni mchana, na kwingine jua linatoka. huyo akiku uliza muumbaji alikuwa angle ipi ya dunia, utasema anakufuru.
Pamoja na yote hayo bado kiza/giza iliumbwa na Mungu muumba mbingu na nchi, si kweli kuwa giza ni Mali ya shetani wala si kweli kutuaminisha juu ya giza kuwa ni ya shetani kumbuka kuwa hapo mwanzo palikuwa giza, HII UMAANISHA KUWA GIZA ILIKUWEPO HATA KABLA YA shetani. Mshana JR sema hapo