Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ntairoga hii siri kali[emoji3] [emoji3] ukiujua uchawi wa kuroga mida ambayo sio ya wanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntairoga hii siri kali[emoji3] [emoji3] ukiujua uchawi wa kuroga mida ambayo sio ya wanga
[/QUOTE]Mkuu salaamu Na pole kwa msiba! Sikupata wasaa wa kukupa pole privahavikuwepo.mwombea mzazi wetu katika sala zangu za Kila Siku.Mungu amwondelee adhabu za dhambi ambazo hakuwahi kufanya malipizi yake angali duniani.
Mintarafu suala la uumbaji wa Ulimwengu Na kiini cha uumbaji huo ni jambo linalohitaji tafakari makini sana.Mimi sitajielekeza kwenye mambo mengine uliyoeleza hapa ila nataka kuweka sawa tu baadhi ya mambo.Ni Hivi Mwandishi wa Kitabu cha Mwanzo katika Biblia anapoandika juu ya uumbaji anaiandikia hadhira yake kwa kuanzia mahali Fulani tu kwenye mtiririko wa Uumbaji Na anatumia wahusika(vitu Na wanyama) ambao wataeleweka vizuri kwa hadhira yake.Kwa hiyo anapoanza simulizi la Uumbaji kwa kusema kulikuwa na Kiza tupu hamaanishi Kiza tunachokifahamu sisi.Tafsiri yake Ni Kwamba Mungu kabla hajaviumba vitu vyote hivyo tunavyoviona Kwa physical senses havikuwepo
QUOTE="mshana jr, post: 20287320, member: 98741"]Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji.![]()
Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza.
Ukiacha kiza kinachofuata ni maji lakini leo hatujadili maji tunajadili kiza
Ni Kutoka kwenye giza ndio utenganisho wa vitu ukaanza rasmi
Kiza ndio kimekuwa ndio chanzo na asili yetu huu ndio ulimwengu wenye nguvu kuliko ulimwengu mwingine wa nuru.
Bara la afrika linapoitwa bara la giza... Kwa mtazamo hasi watu hawajui tu kuwa ule si mtazamo hasi, kiroho ni kitu kingine tofauti chenye nguvu kubwa --achana na mambo ya ulimwengu wa nuru mambo ya sayansi tech madaraka na siasa.
Hata historia inathibitisha kwamba binadamu wa Kwanza kuishi duniani alitokea Africa Tanzania black continent.
Kwahiyo wandugu kiza ndio kila kitu na matendo ya kiza sio matendo ya hiari huja na kuondoka kwa wakati wake.
Unapotaka usione kitu kitendo cha Kwanza cha haraka kinachokuja automatically ni kufumba macho ama kuyaziba, tendo la hiari la kugeuka hufuata baadae kabisa.
Lakini mwili Unapotaka kupumzika hujikuta bila kutegemea macho huwa mazito na baadae kulala kabisa, na huwezi kulala umekodoa macho ni lazima urudi kwenye asili yako...! Kizani! Unaweza kuwa bingwa wa kukesha ama hata kuwasha mataa mengi ili kufukuza giza lakini huwezi asilani. Kiza ni kiza na hakuna mwanga uwezao kufunika kiza chote.
La mwisho na la muhimu kujua ni kwamba mwisho wetu (kufa) ni kurudi kwenye asili na ndio maana hata ukifa umekodoa macho waliopo hukusaidia kukufunika.
Tafsiri yake ni moja.... Unaaambiwa rudi kwenye asili yako
Shetani mwenye nguvu sana na matendo yake yanayovuta mamilioni ndio mungu wa ulimwengu wa kiza... Unavutwa bila hiari bila utashi, unafanya kisha unajuta sana lakini unarudia yale yale ya giza. Usijilaumu sana KIZA NDIO ASILI NA CHANZO CHA UUMBAJI
Jr.!
Kuna kitu ktk hii thread yako Mkuu, kikubwa sana. Tukijifikirisha sana, KWELI nyingi zitajifunua. Ubaya ulikuwepo kabla ya wema, wema umezaliwa toka kwenye lindi la ubaya. Nadhani ndo maana tunatumia nguvu nyingi kujinasibisha na wema ukifananisha na ubaya.Aaamen
[/QUOTE]Mkuu salaamu Na pole kwa msiba! Sikupata wasaa wa kukupa pole privahavikuwepo.mwombea mzazi wetu katika sala zangu za Kila Siku.Mungu amwondelee adhabu za dhambi ambazo hakuwahi kufanya malipizi yake angali duniani.
Mintarafu suala la uumbaji wa Ulimwengu Na kiini cha uumbaji huo ni jambo linalohitaji tafakari makini sana.Mimi sitajielekeza kwenye mambo mengine uliyoeleza hapa ila nataka kuweka sawa tu baadhi ya mambo.Ni Hivi Mwandishi wa Kitabu cha Mwanzo katika Biblia anapoandika juu ya uumbaji anaiandikia hadhira yake kwa kuanzia mahali Fulani tu kwenye mtiririko wa Uumbaji Na anatumia wahusika(vitu Na wanyama) ambao wataeleweka vizuri kwa hadhira yake.Kwa hiyo anapoanza simulizi la Uumbaji kwa kusema kulikuwa na Kiza tupu hamaanishi Kiza tunachokifahamu sisi.Tafsiri yake Ni Kwamba Mungu kabla hajaviumba vitu vyote hivyo tunavyoviona Kwa physical senses havikuwepo. Na vile vile Mwandishi Kwa wakati ule yeye aliongelea mazingira ya Sayari ya Dunia tu kwani Kwa wakati huo hakukuwa Na tekinolojia ya kuweza kuona viumbe vingine nje ya Sayari yetu.Na ndipo msomaji wa Leo anapaswa kuelewa kuwa kumbe sio Giza na maji vinavyoongelewa hapo sio vitu fundamental kwenye Uumbaji wa Ulimwengu.Ingekuwa Kwamba Giza Na maji tunavyovijua Ndio Essence ya Uumbaji wa Ulimwengu je vipi Kwa Sayari ambazo zimeonekana hakuna maji?
Tafsiri ya Kiza na maji kuwa sio physical phenomenona tunazozijua inajitokeza pia katika simulizi la Adamu Na Hawa kula tunda la mti wa Katikati bustanini.Dhambi hiyo tafsiri yake Ni ile hali ya Kudokezewa Na Shetani kuwa wao Adamu Na Hawa wana uwezo wa kuwa sawa Na Mungu.Kwa hiyo Eva anapolikubali wazo hilo Na kuliweka akili ni(kuchuma tunda) na kisha aka-share Na Adamu wazo lile lile( kumpa Adamu naye tunda akala) Ndio inahesabika walizingatia/ waliikubali moyoni hiyo proposition ya shetani Na wakaizingatia moyoni mwao.
Kwa hiyo tunaposoma Vitabu vya Biblia inatupasa kuelewa Kwa ukamilifu Mwandishi aliwaandikia Akina Nani Na Kwa mazingira gani na kwa sababu gani wakati huo.Kizazi cha Wakati wa Mwandishi kingeelewa zaidi Lugha ya vitu vinavyoonekana Na sio mambo dhahania kama Hivi Leo.
QUOTE="mshana jr, post: 20287320, member: 98741"]Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji.![]()
Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza.
Ukiacha kiza kinachofuata ni maji lakini leo hatujadili maji tunajadili kiza
Ni Kutoka kwenye giza ndio utenganisho wa vitu ukaanza rasmi
Kiza ndio kimekuwa ndio chanzo na asili yetu huu ndio ulimwengu wenye nguvu kuliko ulimwengu mwingine wa nuru.
Bara la afrika linapoitwa bara la giza... Kwa mtazamo hasi watu hawajui tu kuwa ule si mtazamo hasi, kiroho ni kitu kingine tofauti chenye nguvu kubwa --achana na mambo ya ulimwengu wa nuru mambo ya sayansi tech madaraka na siasa.
Hata historia inathibitisha kwamba binadamu wa Kwanza kuishi duniani alitokea Africa Tanzania black continent.
Kwahiyo wandugu kiza ndio kila kitu na matendo ya kiza sio matendo ya hiari huja na kuondoka kwa wakati wake.
Unapotaka usione kitu kitendo cha Kwanza cha haraka kinachokuja automatically ni kufumba macho ama kuyaziba, tendo la hiari la kugeuka hufuata baadae kabisa.
Lakini mwili Unapotaka kupumzika hujikuta bila kutegemea macho huwa mazito na baadae kulala kabisa, na huwezi kulala umekodoa macho ni lazima urudi kwenye asili yako...! Kizani! Unaweza kuwa bingwa wa kukesha ama hata kuwasha mataa mengi ili kufukuza giza lakini huwezi asilani. Kiza ni kiza na hakuna mwanga uwezao kufunika kiza chote.
La mwisho na la muhimu kujua ni kwamba mwisho wetu (kufa) ni kurudi kwenye asili na ndio maana hata ukifa umekodoa macho waliopo hukusaidia kukufunika.
Tafsiri yake ni moja.... Unaaambiwa rudi kwenye asili yako
Shetani mwenye nguvu sana na matendo yake yanayovuta mamilioni ndio mungu wa ulimwengu wa kiza... Unavutwa bila hiari bila utashi, unafanya kisha unajuta sana lakini unarudia yale yale ya giza. Usijilaumu sana KIZA NDIO ASILI NA CHANZO CHA UUMBAJI
Jr.!
Sahihi kabisa na ndio maana nikasema kiza ndio asili yetu, si kwa mambo na vitu vinavyoonekana tu bali hata yale ya rohoniKuna kitu ktk hii thread yako Mkuu, kikubwa sana. Tukijifikirisha sana, KWELI nyingi zitajifunua. Ubaya ulikuwepo kabla ya wema, wema umezaliwa toka kwenye lindi la ubaya. Nadhani ndo maana tunatumia nguvu nyingi kujinasibisha na wema ukifananisha na ubaya.
Kutoka nuruni kuja gizani ni vyepesi sana kuliko kinyume chake.
Ni kweli, na nadhani hata kufa ni kurudi ktk ile hali ya kutokuwepo kwa uhai na utambuzi, gizani ambako ndiko tulikotwaliwa.Sahihi kabisa na ndio maana nikasema kiza ndio asili yetu, si kwa mambo na vitu vinavyoonekana tu bali hata yale ya rohoni
Kwa vyovyote kiza cha ASILI kilikuwepo tu, kama jua, mwezi na nyota navyo vimeumbwa, ilikuwaje kabla ya hapo?[/QUOTE]QUOTE="ArD67, post: 20764217, member: 398629"]
Kwa vyovyote kiza cha ASILI kilikuwepo tu, kama jua, mwezi na nyota navyo vimeumbwa, ilikuwaje kabla ya hapo?
Nadhani sijakuelewa, ila nijuavyo ni kwamba, nuru imeumbwa. Sasa kabla ya kuumbwa kwa nuru, kipi kilikuwepo ktk asili yake? Ila nuru ni kinyume cha giza. Hapa hoja ikawa, vyote viko na asili ktk hilo giza, kupitia giza nuru, uhai na vyote vilipatikana.[/QUOTE]Ndugu hali ya mabadiliko ya kujizungusha dunia katika mhimili wake Na kuleta matokeo ya Giza(Usiku) Na Nuru (mchana) ni matokeo ya nguvu nyinginezo zinazosababisha hayo yatokee.Huwezi kusema Kiza katika hali ya namna hiyo ndio asili(creator/source) ya vitu vingine.Unaelewa maana ya neno kiini? Kiini maana yake chanzo.Chanzo maana yake mwanzo wa jambo au hali Fulani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781][/QUOTE]Nadhani sijakuelewa, ila nijuavyo ni kwamba, nuru imeumbwa. Sasa kabla ya kuumbwa kwa nuru, kipi kilikuwepo ktk asili yake? Ila nuru ni kinyume cha giza. Hapa hoja ikawa, vyote viko na asili ktk hilo giza, kupitia giza nuru, uhai na vyote vilipatikana.
Yahana 1:5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.