Giza ndio asili ndio chanzo....kwenye uumbaji

Ni kweli tupo gizani, la mwanga haupo mbali giza likizidi kupambazuka kumekaribia.
 
Ni kweli tupo gizani, la mwanga haupo mbali giza likizidi kupambazuka kumekaribia.
Bado safari ni ndefu lakini tusikate tamaa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
umechanganya science na dini bila kujua. science umepatia uliposema binadamu chimbuko lao ni afrika mashariki. mengine ni hadithi za kiimani na kwa uelewa wa leo ni ngumu kukubali. 'ikawa mchana, ikawa usiku' binadamu wa enzi hiyo aliiona dunia ya alipo. binadamu wa upeo wa leo kwake ni usiku, geografia inamweleza nchi nyingine ni mchana, na kwingine jua linatoka. huyo akiku uliza muumbaji alikuwa angle ipi ya dunia, utasema anakufuru.
 
Pamoja na yote hayo bado kiza/giza iliumbwa na Mungu muumba mbingu na nchi, si kweli kuwa giza ni Mali ya shetani wala si kweli kutuaminisha juu ya giza kuwa ni ya shetani kumbuka kuwa hapo mwanzo palikuwa giza, HII UMAANISHA KUWA GIZA ILIKUWEPO HATA KABLA YA shetani. Mshana JR sema hapo
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…