longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsantenindio ... ... giza lina source...... ambayo ni negative energy, kama ilivyo jua na nyota zinavyotoa mwanga ndivyo kuna jua na nyota zinazotoa giza.
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsanteni
Haya ndio majibu sasa... .. .ila ni magumu kueleweka kirahisirahisi.Kwa maneno mepesi macho yetu yameevolve kusense mwanga (photons) kwa hiyo mwanga usipokuwepo hatuoni, kama vile pasipokuwa na sauti hausikii, au usipokuwa na pesa inamaanisha hauna sio kwamba unapesaless Bali ni hauna
Ndugu, unavyosema kuongezeka au kupungua kwa mwanga unachukulia vitu gani?Giza sio kinyume cha mwanga ila ni simply hakuna mwanga. Huwezi kuongeza giza kama uongezavyo mwanga na topic ya giza ni moja ya ongoing research in physics kwa muda mrefu.
Ndugu, unavyosema kuongezeka au kupungua kwa mwanga unachukulia vitu gani?
Je mwanga wa jua na nyota unaongezeka na kupungua?... .. . kama ndio hivo itabidi ukubali pia giza linaongezeka na kupungua.
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsanteni
There are concepts that do not exist ie death, darkness and coldness. Coldness is the absence of heat, same applies to darkness which is the absence of light and death which is the absence of life.
mhmm jingine la kizushi kukiwa hakuna giza wala mwanga kunakuwaje?
MiWakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period
Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.
Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?
mimi ninavyojua giza ni kitu halisi... maana hata huyo mungu kabla ya kuumba mianga alikuwa anakaa gizani.
golden ratio,Bufa
Mtu ameuliza kwa kiswahili wewe unajibu kwa kizungu ndiyo uonekane msomi sana au?Darkness does not exist. Only light exists. The absence of light is what we call darkness. That is why we can measure light but we cannot measure darkness.
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period
Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.
Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?
golden ratio,Bufa
Mtu ameuliza kwa kiswahili wewe unajibu kwa kizungu ndiyo uonekane msomi sana au?
kunakuwa kweupemhmm jingine la kizushi kukiwa hakuna giza wala mwanga kunakuwaje?
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period
Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.
Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?
golden ratio,Bufa
The bible is full of fiction that cannot be explained scientifically.Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu