Giza ni nini?

Giza ni nini?

ndio ... ... giza lina source...... ambayo ni negative energy, kama ilivyo jua na nyota zinavyotoa mwanga ndivyo kuna jua na nyota zinazotoa giza.
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsanteni
 
Kwa maneno mepesi macho yetu yameevolve kusense mwanga (photons) kwa hiyo mwanga usipokuwepo hatuoni, kama vile pasipokuwa na sauti hausikii, au usipokuwa na pesa inamaanisha hauna sio kwamba unapesaless Bali ni hauna
 
Haya ndio majibu sasa... .. .ila ni magumu kueleweka kirahisirahisi.
 
Giza sio kinyume cha mwanga ila ni simply hakuna mwanga. Huwezi kuongeza giza kama uongezavyo mwanga na topic ya giza ni moja ya ongoing research in physics kwa muda mrefu.
 
Ndugu, unavyosema kuongezeka au kupungua kwa mwanga unachukulia vitu gani?
Je mwanga wa jua na nyota unaongezeka na kupungua?... .. . kama ndio hivo itabidi ukubali pia giza linaongezeka na kupungua.
 
Huwezi kuongeza giza kama uongezavyo mwanga mf: mwanga wa tochi unaweza kuwasha from dim to full light but that doesn't apply to darkness in the same manner hivyo giza sio kinyume cha mwanga precisely
 
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsanteni

There is nothing like source of darkness , there are causes of darkness. Ww ulichoeleza ni cause.
 
There are concepts that do not exist ie death, darkness and coldness. Coldness is the absence of heat, same applies to darkness which is the absence of light and death which is the absence of life.
 
Kama akielewa hili atakua kapata jibu. Giza sio kinyume cha mwanga ni absence of light
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

golden ratio,Bufa
 
mhmm jingine la kizushi kukiwa hakuna giza wala mwanga kunakuwaje?

Sheria za Fizikia haziruhusu kitu kama hicho kutokea,labda kwenye ulimwengu mwingine ambao sisi hatuujui?
Pia swali lako haliingi akilini,Giza ni kutokuwepo kwa Mwanga
Mwanga usipo kuwepo lazima kuwe na Giza hakuna zaidi ya hapo..!
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

mimi ninavyojua giza ni kitu halisi... maana hata huyo mungu kabla ya kuumba mianga alikuwa anakaa gizani.

golden ratio,Bufa
Mi
 
Darkness does not exist. Only light exists. The absence of light is what we call darkness. That is why we can measure light but we cannot measure darkness.
Mtu ameuliza kwa kiswahili wewe unajibu kwa kizungu ndiyo uonekane msomi sana au?
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

golden ratio,Bufa
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

golden ratio,Bufa

This is a religious question it is more theological, philosophical than scientific. There are a lot of cases in the bible where the bible differs so much from science. The theory of creation itself for one: the bible says the earth was formed/ created before the sun and the stars. Science says the sun and stars were there before the earth. Etc
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

golden ratio,Bufa
The bible is full of fiction that cannot be explained scientifically.
 
Wakuu nafikiri KENZY ameshapata jibu
In reality,there is no cause or source of Darkness in the universe.Darkness doesn't even exist
But there is presence and absence of light.period

Darkness is simply the terminology we use to Explain Absence of light.

Lakini kuna swali wakuu,kwenye Biblia,kitabu cha Mwanzo,Mungu alitenganisha Nuru au Mwanga na Giza,lakini tumeona kuwa Giza sio kitu halisi,sasa Mungu aliwezaje kutenganisha kitu halisi[mwanga] na kitu kisicho halisi[Giza]?

golden ratio,Bufa

Mambo ya dini Ni a bit complicated but don't count them off yet maana hata science haitoi majibu kwa maswali kama haya. Antimatter ni ongoing research as well na kwenye imbalance of matter and antimatter (baryon asymmetry) ndio unakutana na mambo kama haya; kwamba unaweza vp toa kitu pasipo na kitu, kwanini giza sio kinyume cha mwanga et cetera et cetera.. I doubt we will never get solutions to these questions
 
Back
Top Bottom