longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
nafikiri source of darkness ni ule udhaifu wa source of light ie ule udahifu unavyoongzeka ndivyo giza inapotengenezwa ......akhsantenindio ... ... giza lina source...... ambayo ni negative energy, kama ilivyo jua na nyota zinavyotoa mwanga ndivyo kuna jua na nyota zinazotoa giza.