Giza totoro Cuba nzima kwa Kukosa umeme Septemba 10, 2025

Giza totoro Cuba nzima kwa Kukosa umeme Septemba 10, 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika kupitia mtandao wa kijamii wa X kwamba kukatika umeme hapo jana kunatokana na kuharibika kwa mojawapo ya kinu kikubwa kabisa cha umeme nchini humo

1757570736620.png


=================​

Cuba hit with fifth blackout in less than a year with 10m people in the dark
Grid failure follows string of nationwide blackouts that plunged antiquated power system into near-total disarray

Emergency crews were working to restore power to 10 million people on Wednesday as Cuba suffered its fifth nationwide blackout in under a year, the energy ministry announced.

“There has been a total disconnection of the electric system,” the energy ministry and National Electric Union said early on Wednesday.

The grid failure follows a string of nationwide blackouts since late last year that plunged Cuba’s frail and antiquated power generation system into near-total disarray.

Earlier this week, an outage hit Cuba’s eastern region, leaving people from Las Tunas to Guantánamo in the dark for several hours.

In February, the government suspended classes and work activities for two days given a shortage in electricity generation.

“This is crazy for everything,” Raúl Ernesto Gutiérrez said in Havana.

Gutiérrez, who said he was visiting the capital, said that back home in the countryside, “we will have to cook with charcoal, with firewood. It’s stressful and also frustrating.”

The country has also being facing fuel, food and other shortages amid its worst economic crisis in decades.

Havana state worker Danai Hernández, said she was on the way home from work which had just shut down.

“I’m going home to organize everything in the household and … now we have to wait. We don’t have any other choice,” she said, visibly upset.

people cook outside in the dark and shine flashlights
‘There is no money’: Cuba fears total collapse amid grid failure and financial crisis

In October 2024, the island, which is suffering its worst economic crisis in three decades, was plunged into darkness for several days following a shutdown of the Antonio Guiteras thermoelectric power plant, the island’s biggest.

Cuba’s energy crisis has worsened in recent years due to US sanctions intended to put pressure on the island to change its political model.

The sanctions have prevented the Caribbean country from having sufficient foreign currency to buy fuel or repair its ageing thermoelectric plants, many of which have been operating for more than 30 years.

The blackouts have led to rare anti-government protests.

Source: DW KISWAHILI & THE GUARDIAN​
 
Huyu jamaa anaekinukisha ndo mana kaamua kuachana kazi tu.
Kapelekwa Malawi, mara Cuba.
Huko kote kuna njaa kuliko hata Kigoma.
 
Nilishangaa watu waliolazimisha Cuba mtungi wa gesi uwe elfu mbili kisa maneno ya mtu mmoja yasiyo sahihi. Cuba haina LNG plant, haina mafuta vyote inaagiza na inakumbwa na mgawo wa umeme na kukatika sasa inakuwaje mtungi wa gesi ambayo inaagizwa nje uwe 2,000 kwa kilo ngapi zile.

Sasa ona blackout ya tano kwa mwaka huu pekee. Hata Tanzania yenyewe hatujawahi kukatiwa umeme kwenye mkongo wa taifa mara tano kwa mwaka. Mwaka huu ni Burundi pekee walikumbwa na ngawo na upungufu wa mafuta nchini kwa mwendo wa kama wiki.

Ukitoka kwenye hilo unakuja kwenye black market, wao baadhi ya vitu muhimu vina bei mbilimbili. Bei elekezi ya kuandikwa kwenye magazeti na kutamkwa kisiasa, na bei halisi mtaani.
 
Back
Top Bottom