Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Giza limekuwa jeusi tiiii...

Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂

Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
 
Kama Simba wanategemea Yanga itawabeba tena wasishuke daraja kama mwaka 1989 pale shamba la bibi uo ni upuuzi. Tunawashauri Simba wafanye usajili wa maana kwakua msimu ujao utakua mgumu kuliko huu ulio Isha. Mtu mzima hapangwi, tunaomba Simba mjipange mapema.
 
Giza limekuwa jeusi tiiii...

Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂

Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Huo msimu ni upi mbona huwa hamuutaji?
 
Aron Ramsdale aliposajiliwa Arsenal msimu uliopita alikuwa amechezea timu 2 zilizoshuka daraja tayari... Mpira siyo historia
Uto wengi hawajui mpira
 
Attachments

  • IMG_20220705_083819.jpg
    IMG_20220705_083819.jpg
    31.5 KB · Views: 7
Ndio maana Haji Manara alisema Uto wengi akili zao ni kama makuli wa bandarini

Kyombo kaondoka Mbao fc 2018, kisha Mbao ikashuka daraja 2020,, ambapo Mbao walikuwa na mshambuliaji wao Waziri Junior aliyesajiliwa na Utopolo FC baada ya Mbao kushuka daraja
 
Giza limekuwa jeusi tiiii...

Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂

Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.

Nikusahihishe ni Yanga ndio wamekimbia Mara mbili.
 
Simba ijiandae kushuka daraja.

Bora ishuke ili akili za Viongozi zikae vizuri. Huwezi kumtoa CEO experienced Kama Senzo na kumweka mfanyakazi wako asiye na uzoefu wa kundesha mpira. Watu wataugundua ukweli muda umekwisha.
 
Tuliwahi kuambiwa na kuaminishwa kuwa Yikpe ni mdogo wake Drogba - Kumbe lilikuwa galasa tu kule utopoloni.

Miaka ya nyuma Simba iliwahi kumsajili Emanuel Gabriel toka timu ya Daraja la 3 ya Nazaret ya Njombe, akaja kukiwasha balaa hivyo wala sina mashaka na huu usajili wa Kyombo. Profile yake ni kubwa ukilinganisha na wachezaji wengi wazawa waliopo sasa kwenye ligi.
 
Giza limekuwa jeusi tiiii...

Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 [emoji23][emoji23]

Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Hivi hizi nyuzi za kukandia Wachezaji wanaosajiliwa wakati hamjawahi kuwa makocha hata wa Nursery zinawasaidia nini?
 
Wijnaldum katoka Newcastle iliyoshuka daraja kaja Liverpool
Robertson katoka Hull city iliyoshuka daraja kaja Liverpool
Xherdan Shaqiri katoka stoke city iliyoshuka daraja akaenda Liverpool
Wote Hawa watu walienda kuipa Liverpool Champion league na EPL!!!
Tafakari!!
 
Back
Top Bottom