sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huo msimu ni upi mbona huwa hamuutaji?Giza limekuwa jeusi tiiii...
Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 ππ
Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Uto wengi hawajui mpiraAron Ramsdale aliposajiliwa Arsenal msimu uliopita alikuwa amechezea timu 2 zilizoshuka daraja tayari... Mpira siyo historia
Giza limekuwa jeusi tiiii...
Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 ππ
Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Simba ijiandae kushuka daraja.
Hivi hizi nyuzi za kukandia Wachezaji wanaosajiliwa wakati hamjawahi kuwa makocha hata wa Nursery zinawasaidia nini?Giza limekuwa jeusi tiiii...
Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 [emoji23][emoji23]
Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Kama umeanza ushabiki 2020 huwezi kuujua huo msimu.Huo msimu ni upi mbona huwa hamuutaji?
Msimu usio na mwaka, msimu wa misukuleKama umeanza ushabiki 2020 huwezi kuujua huo msimu.