Ne-yo ana upara wa hatari yani akitoa kofia utahisi ni mbabu bora asitoe tu
GK ana kikomwe fulani amazing kimekaa kama kiazi
Uzungu kwa hisani ya maimarthajesseHa ha ha
Naona una utani na yule binti wa kizungu.
Gk ana kichwa kama baba ubaya.
Uzungu kwa hisani ya maimarthajesse
nmecheka eti alishatumia dawa za kuongeza makalio ila hazijafanya kazi zmedunda
Ha ha ha kajikuta tu anaiga, zari ndo alimwambia huddah "levels baby" that day huddah anampa mange vidonge vyakeHa ha ha!
Ivi wanaposema 'levels baby!' Wanamaanisha nini?
Leo nimepata mpya, hata kama I got layed na dereva bodaboda nasema 'I lay with the Exclusive/Executive'!!
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee mrema pia.
Ne-yo ana upara wa hatari yani akitoa kofia utahisi ni mbabu bora asitoe tu
GK ana kikomwe fulani amazing kimekaa kama kiazi
Neyo kazaliwa na kofia naskia
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee mrema pia.
Hapana kk huyu picha zake bila kofia zipo hata videos
Labda afanye kama Rooney yani huo upara huwezi kumdhania kama yupo hivoKumbeee, sasa neyo na pesa zote zile c afanye kama Rooney tu, kaka mkubwa nae angejiachia tu tumzoee, kama prezzo na bichwa lake lile ila alipiga upara na ikawa poa tu