GK na Ne-yo mbona huwa hawavui kofia?

GK na Ne-yo mbona huwa hawavui kofia?

Bigboot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
310
Reaction score
77
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee Mrema pia.
 
Ne-yo ana upara wa hatari yani akitoa kofia utahisi ni mbabu bora asitoe tu
GK ana kikomwe fulani amazing kimekaa kama kiazi

Ha ha ha
Naona una utani na yule binti wa kizungu.
Gk ana kichwa kama baba ubaya.
 
Ha ha ha
Naona una utani na yule binti wa kizungu.
Gk ana kichwa kama baba ubaya.
Uzungu kwa hisani ya maimarthajesse
nmecheka eti alishatumia dawa za kuongeza makalio ila hazijafanya kazi zmedunda
 
Uzungu kwa hisani ya maimarthajesse
nmecheka eti alishatumia dawa za kuongeza makalio ila hazijafanya kazi zmedunda

Ha ha ha!
Ivi wanaposema 'levels baby!' Wanamaanisha nini?
Leo nimepata mpya, hata kama I got layed na dereva bodaboda nasema 'I lay with the Exclusive/Executive'!!
 
neyomug1.jpg
 
Ne yo akivaa kofia huwa zinamtoa sana
 
Ha ha ha!
Ivi wanaposema 'levels baby!' Wanamaanisha nini?
Leo nimepata mpya, hata kama I got layed na dereva bodaboda nasema 'I lay with the Exclusive/Executive'!!
Ha ha ha kajikuta tu anaiga, zari ndo alimwambia huddah "levels baby" that day huddah anampa mange vidonge vyake
sasa huyu mzungu wa manzese et nae anasema level ha ha ha sijui ana level ipi
 
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee mrema pia.

Ngoja girlfriend wake aje atuambie kama hata wawapo kwenye 6×6 huwa hauvui
 
Ne-yo ana upara wa hatari yani akitoa kofia utahisi ni mbabu bora asitoe tu
GK ana kikomwe fulani amazing kimekaa kama kiazi

Kumbeee, sasa neyo na pesa zote zile c afanye kama Rooney tu, kaka mkubwa nae angejiachia tu tumzoee, kama prezzo na bichwa lake lile ila alipiga upara na ikawa poa tu
 
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee mrema pia.

Kangalie video ya neyo lazy love utamuona bila kofia
 
Kumbeee, sasa neyo na pesa zote zile c afanye kama Rooney tu, kaka mkubwa nae angejiachia tu tumzoee, kama prezzo na bichwa lake lile ila alipiga upara na ikawa poa tu
Labda afanye kama Rooney yani huo upara huwezi kumdhania kama yupo hivo
upara kama kiwanja cha mpira, ila angekua anakiachia tungeshamzoea
 
Evelyn Salt,au awe ananyoa upara tu kama Van Diesel, kama Rooney pia sio vibaya, hela anazo kwa nini apate tabu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom