Bigboot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 310
- 77
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee Mrema pia.