GK: Nikipewa nitumie "beef" ya Diamond na Ali Kiba kutengeneza pesa watakua mabilionea.

hivi huyu jamaa alishaachana diva yule wa mawingu fm?
 
huyu jamaa nikiangalia afya yake na maneno yake kuna kitu nakiona
 
Hivi hujui faida ya bifu?

Unaijua East coast team vs Tmk family

Unajua jinsi bifu ile ilivyokuza mziki?, in

Unajua bidhaa walizouza?

Unajua show walizopiga?

Na kumbuka wakati tishet za ECT ziliuzwa kuanzia 15, 000,

 
Crazy GK umesikia ile report ya WHO kuhusu afya ya akili? Basi bro fanya haraka uhamie Dodoma
 
Kingkiba hawezi kuwa na beef na mtoto wa juzi anayenunua tuzo. Kingkiba ana beef na wizkid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…