Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rapper mkongwe nchini, King Crazy GK amesema akipewa fursa ya kutumia bifu ya Diamond na Alikiba, atawafanya wawe mabilionea.
Rapper huyo amedai kuwa atahakikisha wawili hao wanaongeza uhasama zaidi kuliko hata ilivyo sasa. Wakati mengi yakiendelea kuzungumzwa kila kukicha kuhusiana na wawili hao , GK amesema angewahakikisha wawili hao wanapiga mkwanja wa kutosha.
“Ni upinzani mzuri kama nikipewa mimi kutengeza pesa watakuwa mabilionea wale mabwana,” anasema. “Kwanza nitaongeza conflict, ule mgongano sitoupunguza, nitauongeza, nitazidi kuuvibrate uwe mkubwa watu wa waufeel. Sasa upo upinzani kwa Kiba na Diamond zaidi personal, sasa mimi nitauweka watu wauvae yaani wakikutana pale inakuwa noma,” ameongeza.
Crazy GK anadai angepambana kuwe na mipango ya kuhakikisha wawili hao wanapiga hela nyingi ikiwemo kufanya show uwanja wa taifa.
MY TAKE: Gk kapatwa na nini?!,
Hilo lidubwana linatapatapa kwishyney bora akalime nyanya kuliko kufanya music
Hivi huyu dogo bado yupo kwenye muziki?
Hajaelewa kwamba kashindwa tu bado?
Au anataka kuwa promota wa ndondi sasa?
Ndo maana akaitwa Crazy
Mbona bifu yake na TMK haikumfanya awe milionea? Huyu mjomba anazeeka vibaya.
"Nimeropoka" kutokana na nilichosoma kwa mleta uzi. Kama ameandika isivyo basi wewe member wa ECT niwekee link nisikilize then niurekebishe "uropokaji" wangu.Ungesikiliza habari ndo ungetoa maoni yako, sio unaropoka tu
Bongo usomi shobo.Yupo, mkuu msomi huyu hana shobo
Kwahiyo sasa hivi ni bilionea?Hivi hujui faida ya bifu?
Unaijua East coast team vs Tmk family
Unajua jinsi bifu ile ilivyokuza mziki?, in
Unajua bidhaa walizouza?
Unajua show walizopiga?
Na kumbuka wakati tishet za ECT ziliuzwa kuanzia 15, 000,