- Thread starter
- #21
Huyo ata akinipa bure sikubali kumsifia siwezi kumsifia mtu ambaye hata moyo wangu ujaridhia kumsifiaHebu mwaga sifa za ebitoke hapa....mana anasema yeye mzuri kuliko Miss Tanzania wema sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ata akinipa bure sikubali kumsifia siwezi kumsifia mtu ambaye hata moyo wangu ujaridhia kumsifiaHebu mwaga sifa za ebitoke hapa....mana anasema yeye mzuri kuliko Miss Tanzania wema sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanadada mrembo mwenye mvuto wa aina yake.... PICHA?
weka picha yake
Amekomaa huyo tayari, mume aachwi kizembe..?Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada pekee bongo mchekeshaji mzuri.
Hiv karibuni amefanya interview na Moja ya chombo Cha habari na moja ya swali aliloulizwa je unaweza kumwacha mwanaume aliyekucheat? Akajibu siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka Kama ananiheshimu cos wanaume asilimia kubwa wapo hivyo
Akaulizwa pia je umewahi kumfumania mwanaume wako? Akajibu ndio niliwahi kumfumania akiwa na mwanamke baada ya kufika nilimchukua mwanaume wangu na sikufanya chochote nilichopendea pale nilipotokea tu Mwanaume wangu akamwambia yule mwanamke huyu ni mke wangu ndo tukaondoka.
Kwani umeitwa humu kucomment
Kama taarifa haikuhusu umekuja kufanya Nini huku
Eti mrembo...unamfahamu Katarina mkuu!!
Nisaidie rafiki yangu
Muulize na Anne kansiime anamfahamu?
Mamito je?
Katarina ni Mrembo? Basi inaelekea siwajui warembo
Ila bado ajamfikia Gladness KifalukaUkitoa mambo ya makeups katarina still n mrembo
Huo ni UTOTO sasa ukileta Mada humu lazima ijadiliwe na woteKwani umeitwa humu kucomment
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada pekee bongo mchekeshaji mzuri.
Hiv karibuni amefanya interview na Moja ya chombo Cha habari na moja ya swali aliloulizwa je unaweza kumwacha mwanaume aliyekucheat? Akajibu siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka Kama ananiheshimu cos wanaume asilimia kubwa wapo hivyo
Akaulizwa pia je umewahi kumfumania mwanaume wako? Akajibu ndio niliwahi kumfumania akiwa na mwanamke baada ya kufika nilimchukua mwanaume wangu na sikufanya chochote nilichopendea pale nilipotokea tu Mwanaume wangu akamwambia yule mwanamke huyu ni mke wangu ndo tukaondoka.
Huyo ni wakawaida kabisa hata dada yangu ni mzuri kuliko huyo