Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

Attachments

  • BB28C01A-86B9-4D22-B539-ADDF9887B2C6.jpeg
    BB28C01A-86B9-4D22-B539-ADDF9887B2C6.jpeg
    71.2 KB · Views: 2
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada pekee bongo mchekeshaji mzuri.

Hiv karibuni amefanya interview na Moja ya chombo Cha habari na moja ya swali aliloulizwa je unaweza kumwacha mwanaume aliyekucheat? Akajibu siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka Kama ananiheshimu cos wanaume asilimia kubwa wapo hivyo

Akaulizwa pia je umewahi kumfumania mwanaume wako? Akajibu ndio niliwahi kumfumania akiwa na mwanamke baada ya kufika nilimchukua mwanaume wangu na sikufanya chochote nilichopendea pale nilipotokea tu Mwanaume wangu akamwambia yule mwanamke huyu ni mke wangu ndo tukaondoka.
Amekomaa huyo tayari, mume aachwi kizembe..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie rafiki yangu
Muulize na Anne kansiime anamfahamu?
Mamito je?

kansiime ni mrembo ?🤣
by the way yule ni mganda sio mbongo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani umeitwa humu kucomment
Huo ni UTOTO sasa ukileta Mada humu lazima ijadiliwe na wote
huyo mmama uzuri ni wewe ndio imeuona
wengine maywele hatuyapendi wala kujikoboa
hana picha yeoyote ambayo hajavaa wigi au kujikoboa
1583405938517.png
 
Ukiona hivo Basi na yeye anachepuka, yaan utamu wa mshedede kwenye kugalagazana, afu uone ana share mwingine usi react, lol huu ni ujasiri wa kiwango Cha uchumi wa viwanda unaohubiriwa na selikali ya awamu ya 5, khaaaaaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada pekee bongo mchekeshaji mzuri.

Hiv karibuni amefanya interview na Moja ya chombo Cha habari na moja ya swali aliloulizwa je unaweza kumwacha mwanaume aliyekucheat? Akajibu siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka Kama ananiheshimu cos wanaume asilimia kubwa wapo hivyo

Akaulizwa pia je umewahi kumfumania mwanaume wako? Akajibu ndio niliwahi kumfumania akiwa na mwanamke baada ya kufika nilimchukua mwanaume wangu na sikufanya chochote nilichopendea pale nilipotokea tu Mwanaume wangu akamwambia yule mwanamke huyu ni mke wangu ndo tukaondoka.

Bora huyu anajitambua anajua kuwa mgegedo wa kwako peke yako haupo
 
Back
Top Bottom