Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

1635743938188.png

FDFGraVX0AIm5l6
 
Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔
 
TZ siyo kijiji kwamba tutajifungia ndani bila kushirikiana na mataifa mengine, kwa siku hizi mbili tatu mjiandae kwa picha kama hizi, wale wagonjwa wa kusafiri poleni
 
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

View attachment 1994240

FDFGraVX0AIm5l6
Mama anaendelea kuwa galagaza tu
 
MAMA KAJITAHIDI KUIFUNGUA KWELI NCHI LAKINI BADO HALI NI NGUMU SANA HUKU CHINI,SASA NATAFAKARI MAMA AMEMWAGA FEDHA 1.3TR,LAKINI BADO MZUNGUKO HAUJAKAA,JE YULE BWANA KAMUA KAMUA ANGELIKUWEPO MPAKA LEO HII SIJUI HALI INGEKUWAJE?KWA WANANCHI WA KAWAIDA,UKIONDOA MASWAHIBA ZAKE
 
Back
Top Bottom