Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Kama ni kweli hana doa la ufisadi na huku Kikwete akiwa mshauri wake, hana sababu ya kuchelewesha kupatikana KATIBA waitakayo wananchi!!
Kushauriwa na waliomtangulia si mbaya pia! Amewahi kukataa KATIBA MPYA? Alisema katiba mpya itakuja tu! Mnataka ndani ya miezi 6 kila kitu kishughulikiwe? Mngeweza?
 
Kama unasema hatufanya biashara la Uingereza, basi sasa ndio tunaanza , kazi ya Tony Blair hiyo!!!
Sasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.

Sie wenzetu aghalabu ni Turkey, china, Japan malaysia, SA, egypt...hao wengine sijui UK, USA, Italy, Belgium, France, Russia, Germany sio tu kufanya nao biashara ila hata tukiwa masoko yao hatutamudu bei ya bidhaa zao. Hata shati kutoka UK au US hutomudu.
 
MAMA KAJITAHIDI KUIFUNGUA KWELI NCHI LAKINI BADO HALI NI NGUMU SANA HUKU CHINI,SASA NATAFAKARI MAMA AMEMWAGA FEDHA 1.3TR,LAKINI BADO MZUNGUKO HAUJAKAA,JE YULE BWANA KAMUA KAMUA ANGELIKUWEPO MPAKA LEO HII SIJUI HALI INGEKUWAJE?KWA WANANCHI WA KAWAIDA,UKIONDOA MASWAHIBA ZAKE
Haka akimwaga mara kumi zaidi ya hizo hutaiona hata 100 kama utaendelea kulalamika hovyo namna hii
 
Brazil, Japan, na South Africa, N.k wamejiondoa kutoshiriki kwenye mkutano wa Kimataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa...

Kuna nini hapo nyuma ya pazia !?
 
Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Hwy mjumbe tena mnamuita "maalumu"

"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Hii post yako imejaa "negativity 100%", huo mkutano wengi watahudhuria, akiwepo Rais wa dunia "Joe"
 
Sasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.

Sie wenzetu aghalabu ni Turkey, china, Japan malaysia, SA, egypt...hao wengine sijui UK, USA, Italy, Belgium, France, Russia, Germany sio tu kufanya nao biashara ila hata tukiwa masoko yao hatutamudu bei ya bidhaa zao. Hata shati kutoka UK au US hutomudu.
Simu zao tu hatuwez kununua tena simu za vitoch tu vikija bongo vina uzwa kuanzia laki moja
 
Back
Top Bottom