Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

View attachment 1994240

FDFGraVX0AIm5l6

Tuweke rekodi sawa. Hiyo selfies #1 😁😁.
 
Mbona wakija kwetu tuna wapokea ikulu lakini Tukienda kwao tuna puuzwa Sanaa Yan hawatak tuonane nao Raisi yoyote akienda ziara kwenye nchi nyingine lazima mwenyeji wake ata kuwa Rais wa nchi aliyo itembelea kwasababu ni levo moja.
Hawa wapumbavu tunawanyenyekea sana aisee
 
Amekutana na kufanya mazungumzo.

Tunahitaji matokeo.

Tunaomba sana jamanii,

Kina mama hawana maji na hakuna wa kuwatetea.
 
Huyu Mama Wazungu wanamdharau sana. Ona sasa badala ya kukutanishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza, amekutanishwa na "mwakilishi wa waziri mkuu".

Hii ni dharau kubwa sana. Ni kama wewe ni CEO wa kampuni, unaenda kwenye kampuni nyingine kujadili mipango ya kibiashara badala ya kukutanishwa na CEO wa kampuni hiyo, unaletewa sekretari wake ndio muongee naye.

Ona hata kwenye picha anavotia huruma.
 
Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔
Nyie miafrika mbona hamjiamni? Au mnafikiri kujifungia ndani kama mwendazake ndo maendeleo. Toka nje kapambane hayo ndo maendeleo kijana
 
Kitu ambacho hamjui huu mkutano hauna , anufaa kwa nchi zinazo endelea.

Tafuta andiko la M7 ndio utajua
CC haitugusi? Pole sana Mkuu, umesikia juzi tumetangaziziwa tutakosa mvua which itaathiri upatikanaji wa chakula nchini?
 
Haka akimwaga mara kumi zaidi ya hizo hutaiona hata 100 kama utaendelea kulalamika hovyo namna hii
Nani analalamika? Naongelea maneno ya walio wengi mitaani mpaka kariakoo.(tujifunze kuwa kauli ya walio wengi)
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Baadae akiongea na mkuu wa nchi kama yeye mtujuze sio hao mnaopiga nao picha na kutudanganya
Mama hajawahi kumdanganya mtu, yupo real sana, hana chochote cha kuprove, rekodi yake inamlinda, hana hata tone la ufisadi/wizi, poleni sana chief
 
Sasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.

Sie wenzetu aghalabu ni Turkey, china, Japan malaysia, SA, egypt...hao wengine sijui UK, USA, Italy, Belgium, France, Russia, Germany sio tu kufanya nao biashara ila hata tukiwa masoko yao hatutamudu bei ya bidhaa zao. Hata shati kutoka UK au US hutomudu.

Unajua kuwa magari ya aina ya ROVER zikiwemo Range Rover, Land Rover nakadhalika yanatengenezwa Uingereza hivyo tunaweza fanya biashara nao ya kutosha pamoja na bidhaa nyingine nyingi!!
Sisi tunaweza wauzia KATANI na MAPARACHICHI! Ndio iitakuwa kazi ya hizo CARGO planes zilizoagizwa!
 
Kushauriwa na waliomtangulia si mbaya pia!

Achukue huo ushauri kwa tahadhali sana kwani MKWERE agenda yake kubwa sasa ni jinsi ya kumrithisha mwanae madaraka ndani ya Serikali ya Samia ili hali hana akili/sifa!!
 
Biashara gani nchi maskini kama uingereza wanaweza fanya na sisi zaidi ya utapeli na ufisadi
 
Mama hajawahi kumdanganya mtu, yupo real sana, hana chochote cha kuprove, rekodi yake inamlinda, hana hata tone la ufisadi/wizi, poleni sana chief
Usihame mada nimesema AKIONGEA NA MKUU WA NCHI sio "MJUMBE MAALUMU"
Mtuletee taarifa na video hapa
 
TZ siyo kijiji kwamba tutajifungia ndani bila kushirikiana na mataifa mengine, kwa siku hizi mbili tatu mjiandae kwa picha kama hizi, wale wagonjwa wa kusafiri poleni
Balozi na waziri wa mambo ya nje ndio kazi yake mbona huyo boris hakuwepo kamtuma muwakilishi.. wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa ushamba wa mzungu
 
Back
Top Bottom