Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Hivi hujui kuwa Baba yenu Nyerere alipinduliwa mwakar 1964? Waliomrudisha madarakani ni jeshi la waingereza?

Kulipa fadhila ile almasi ya Mwadui ikaenda arijojo kwa bwana pamoja Na green light ya kuivamia Zanzibar
Hawakufundishwa darasani hayo, hebu wape shule kidogo.
 
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati
Kwani huyo mwenyewe hajahudhuria mkutano mpaka atutumie mjumbe
Gharama alizotumia kwenda Scotland anakwenda kuonana na mjumbe? Balozi wetu angetosha kuonana na huyo mjumbe. Boris ni kiboko
 
Huyo jamaa kwenye picha sijui wamemuokotea wapi maana hata cheo chake cha madaraka hawajatuambia
Anaweza kuwa hata ni Homeless fulani ameokotwa akapigwa suti na mulamula kwa ajili ya Photo op 🤣

Hakuna mtu rahisi kukutana nae kama Boris Johnson Waziri mkuu msela msela lakini nadhani wanamkwepa huyu Bibie na sababu zenyewe zinajulikana.
 
Kamati ya roho mbaya, kuliombeya mabaya taifa letu....
FDGIrvcWQAICnnd
 
Anaweza kuwa hata ni Homeless fulani ameokotwa akapigwa suti na mulamula kwa ajili ya Photo op 🤣

Hakuna mtu rahisi kukutana nae kama Boris Johnson Waziri mkuu msela msela lakini nadhani wanamkwepa huyu Bibie na sababu zenyewe zinajulikana.
wanajichafua wenyewe wakikwepwa wanakuja na TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI labda tusubiri TBC wasipoonesha hayo mazungumzo ujue tumeingizwa chaka
 
wanajichafua wenyewe wakikwepwa wanakuja na TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI labda tusubiri TBC wasipoonesha hayo mazungumzo ujue tumeingizwa chaka
Najua kitengo cha Propaganda kitaamuru hii iwe Habari kubwa lakini wataalamu wameshang'amua kuwa BJ kampotezea Mama Boris kaona ni bora anywe Scotch Whisky yake kuliko kukutana na Raisi wa ThirdWorld muongo muongo asiyependa Demokrasia.
 
Nani kasema anamchukia raisi Samia? acha kulisha watu maneno.
Hahaha, kuichukia nchi yenu hakutowasaidia chochote wapuuzi nyinyi, nitawatumia picha zake zote akiwa huko kuwaonesha jinsi gani nyie ni vilaza, Pumbaf
 
Mama akibadilika aruhusu Demokrasia istawi, aache kupiga marufuku upinzani kufanya mikutano na siasa afungulie wafungwa wa kisiasa atakuwa akialikwa kama ilivyokuwa kwa Mzee Kikwete

Lakini akifuata Siasa za chuki zilizoasisiwa na Magufuli ni bora nae ajifungie Tanganyika tu.
 
Back
Top Bottom