Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Hivi wote ni wafupi au Chief ndo kazidi ufupi😂😂😂Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney
Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini
View attachment 1994240
![]()