Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Unajua kuwa magari ya aina ya ROVER zikiwemo Range Rover, Land Rover nakadhalika yanatengenezwa Uingereza hivyo tunaweza fanya biashara nao ya kutosha pamoja na bidhaa nyingine nyingi!!
Sisi tunaweza wauzia KATANI na MAPARACHICHI! Ndio iitakuwa kazi ya hizo CARGO planes zilizoagizwa!
Uingereza ni nchi maskini tuu kinachowaweka mjini ni colonial legacy na koloni zao mbili hapa afrika kenya na bostwana
 
Balozi na waziri wa mambo ya nje ndio kazi yake mbona huyo boris hakuwepo kamtuma muwakilishi.. wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa ushamba wa mzungu
Leo ndiyo kwanza tarehe moja Mkuu, kuna picha inakuja kesho, hivi kwanini mnaiombea mabaya nchi yenu Mkuu, Rais wenu kupiga picha na Boris inawauma sana?
 
Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔
Punguza uoga na wasiwasi mkuu.
 
Haya twende.....
FDFrUa0X0AkoBEt
 
Balozi na waziri wa mambo ya nje ndio kazi yake mbona huyo boris hakuwepo kamtuma muwakilishi.. wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa ushamba wa mzungu
Hakuna ugonjwa huo mkuu kama nafsi yako haina makandokando ya majivuno na jeuri isiyo na msingi.
 
R
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

View attachment 1994240

FDFGraVX0AIm5l6
Kuna Rais hapa Tanzania aliisha wahi kutana na Marais wote wa dunia,lakini nchi ndio ilizidi kuwa masikini, Sembuse huyu anayekutana na wawakilishi? Tanzania tukiondokana na akili tegemezi ndipo tutasonga.
 
Mama hataki dhuluma, and TZ siyo kijiji mjomba
 
Back
Top Bottom