Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔
Kwa hiyo maushungi anakiri kwamba jina la Tanzania limechafuka kwa sababu ya utawala wao mbovu.
 
Kwa hiyo maushungi anakiri kwamba jina la Tanzania limechafuka kwa sababu ya utawala wao mbovu.
Tawala zinakuja na kuondoka....

Na tawala hii ina misimamo yake juu ya JUMUIYA YA KIMATAIFA.....

SIEMPRE JMT
 
1635861417353.png

Msimchukie Mama
 
Huyu Mama Wazungu wanamdharau sana. Ona sasa badala ya kukutanishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza, amekutanishwa na "mwakilishi wa waziri mkuu".

Hii ni dharau kubwa sana. Ni kama wewe ni CEO wa kampuni, unaenda kwenye kampuni nyingine kujadili mipango ya kibiashara badala ya kukutanishwa na CEO wa kampuni hiyo, unaletewa sekretari wake ndio muongee naye.

Ona hata kwenye picha anavotia huruma.
Aisee
 
Hivi hujui kuwa Baba yenu Nyerere alipinduliwa mwakar 1964? Waliomrudisha madarakani ni jeshi la waingereza?

Kulipa fadhila ile almasi ya Mwadui ikaenda arijojo kwa bwana pamoja Na green light ya kuivamia Zanzibar
Hii story Bibi yako kizee anaijua pekeyake!!??
 
Ukisakata singeri la mabeneru matamko utayasikia Kwa Jirani hata ukiwafunga wapinzani timu nzima .na mama ni mapsmbio ya mabeneru kwenda mbele .
 
Back
Top Bottom