Kwa hiyo maushungi anakiri kwamba jina la Tanzania limechafuka kwa sababu ya utawala wao mbovu.Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔