Kwa hiyo maushungi anakiri kwamba jina la Tanzania limechafuka kwa sababu ya utawala wao mbovu.Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. πππ€£π€£π€Έπ€Έπ€Έπ€£π€£π€π€π€
Anakutana na mjumbe maalumu wakati yeye mwenyewe yuko hapo hapo.Kama anatuthamini kwa nini anatuma mwakilishi?Hongera sana Mama Samia.
We proud of you.
Tunakuoenda sana.
Poor you. Huwezi hata kutofautisha pumba na mchele. π€£ π€£π
#Kazi Iendelee Kwa Kasi & Weledi Zaidiπͺ
Tawala zinakuja na kuondoka....Kwa hiyo maushungi anakiri kwamba jina la Tanzania limechafuka kwa sababu ya utawala wao mbovu.
Hata hawaeleweki wanahitaji kipi kilicho "tangible" kwa nchi za KIAFRIKA.....Pole chief, kuichukia nchi yako haitokusaidia chochote
Bado mnaendelea kumchukia?View attachment 1995936
Msimchukie Mama
AiseeHuyu Mama Wazungu wanamdharau sana. Ona sasa badala ya kukutanishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza, amekutanishwa na "mwakilishi wa waziri mkuu".
Hii ni dharau kubwa sana. Ni kama wewe ni CEO wa kampuni, unaenda kwenye kampuni nyingine kujadili mipango ya kibiashara badala ya kukutanishwa na CEO wa kampuni hiyo, unaletewa sekretari wake ndio muongee naye.
Ona hata kwenye picha anavotia huruma.
Unajipendekeza mno mpaka unatia hurumaMama hajawahi kumdanganya mtu, yupo real sana, hana chochote cha kuprove, rekodi yake inamlinda, hana hata tone la ufisadi/wizi, poleni sana chief
Hii story Bibi yako kizee anaijua pekeyake!!??Hivi hujui kuwa Baba yenu Nyerere alipinduliwa mwakar 1964? Waliomrudisha madarakani ni jeshi la waingereza?
Kulipa fadhila ile almasi ya Mwadui ikaenda arijojo kwa bwana pamoja Na green light ya kuivamia Zanzibar
Kweli Tz ni ya kina mama!!?Kamati ya roho mbaya, kuliombeya mabaya taifa letu....
Ha ha haa ww jamaa mpuuzi sanaHii Nchi bora Wassira angekuwa Raisi ili kuvutia Watalii wawe wanakwenda Ikulu badala ya Gombe.
Acha urongo mbona picha ya juu amevaa sketi!!??
Basi ni MJINGA sana kushabikia uliyoyakimbia KAA KIMYA
Pamoja sana Mkuu, Haters gonna hateπ
Hakika Komredi πPamoja sana Mkuu, Haters gonna hate