Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

NASHAURI MAMA AOMBE MSAADA WA SCOTLAND YARD WAJE WAFUKUE MAOVU YA MAREHEMU NA WARUNDI WENZAKE
Pumbavu sana,,
We hujazaliwa JPM tayari analitumikia Taifa hili, we kima hata mbegu za kukutoa uje uropoke huku zilikua bado kwenye mbupu.
 
Utashangaa kuikuta blender huko UK imeandikwa made in Malaysia au China.
 
Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Why mjumbe tena mnamuita "maalumu"

"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!
Sasa mtu hujui hata abc za International Relations lakini unavyojitia mjuaji hadi unakera!
 
Hawa jamaa wanaichukia nchi yao, and wanataka tuwapigie kura, how come?
 
🀣😍
 
Ingekuwa safi tuu.
Mbona hakukusikika mtu kafa kwa hali ngumu ya maisha

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…