Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😍💪![]()
Kesho Mama anahutubia Dunia
SIEMPRE CHIFU HANGAYA aaaamin 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍💪![]()
Kesho Mama anahutubia Dunia
Kesho wasubiri hotuba.....
Kabisa. Sijui ni nani hao wanaopinga hoja hii murua sana. The truth will set us free, indeed.Mimi natamani sana upelelezi wa kupigwa Risasi TL urudiwe na hao watu, ili kuwavua ngua watu flaniflani
Hakika!Kesho wasubiri hotuba.....
Pumbavu sana,,NASHAURI MAMA AOMBE MSAADA WA SCOTLAND YARD WAJE WAFUKUE MAOVU YA MAREHEMU NA WARUNDI WENZAKE
Team Roho Mbaya watatukubali tuHakika!
Mkuu raha ya JF ni kukerana kama hivi, hahaa, jamaa kakukeraPumbavu sana,,
We hujazaliwa JPM tayari analitumikia Taifa hili, we kima hata mbegu za kukutoa uje uropoke huku zilikua bado kwenye mbupu.
Utashangaa kuikuta blender huko UK imeandikwa made in Malaysia au China.Sasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.
Sie wenzetu aghalabu ni Turkey, china, Japan malaysia, SA, egypt...hao wengine sijui UK, USA, Italy, Belgium, France, Russia, Germany sio tu kufanya nao biashara ila hata tukiwa masoko yao hatutamudu bei ya bidhaa zao. Hata shati kutoka UK au US hutomudu.
Washenzi km hawa ni kujibiwa kishenzi tu.Mkuu raha ya JF ni kukerana kama hivi, hahaa, jamaa kakukera
🤣🤣🤣😍Samia kaseat na Biden Bega kwa Bega hahahaha, Timu roho Mbaya endeleeni....
![]()
😍
Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Why mjumbe tena mnamuita "maalumu"
"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Hawa jamaa wanaichukia nchi yao, and wanataka tuwapigie kura, how come?Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!
Sasa mtu hujui hata abc za International Relations lakini unavyojitia mjuaji hadi unakera!
🤣😍Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!
Sasa mtu hujui hata abc za International Relations lakini unavyojitia mjuaji hadi unakera!
Wanashangaza sana....hawako "serious" 🤣Hawa jamaa wanaichukia nchi yao, and wanataka tuwapigie kura, how come?
Ingekuwa safi tuu.MAMA KAJITAHIDI KUIFUNGUA KWELI NCHI LAKINI BADO HALI NI NGUMU SANA HUKU CHINI,SASA NATAFAKARI MAMA AMEMWAGA FEDHA 1.3TR,LAKINI BADO MZUNGUKO HAUJAKAA,JE YULE BWANA KAMUA KAMUA ANGELIKUWEPO MPAKA LEO HII SIJUI HALI INGEKUWAJE?KWA WANANCHI WA KAWAIDA,UKIONDOA MASWAHIBA ZAKE
Hatimaye ile siku imewadia...Wanashangaza sana....hawako "serious" 🤣