GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Wakati Ana ondoka aliondoka chini ya Baraka Za waziri wa michezo Nape Moses Nnauye hivyo pia Kwa ushindi huu wa historia Jamaa inatakiwa atinge ikulu kupata pongezi Za mkuu wa nchi .ukizingatia toka mkuu akamate nchi safari aliyo enda ni Dodoma tu.muda wote yupo Dar
 
Hiyo ni kazi ya waziri wa michezo kuangalia kama anaweza kuomba na kupata dakika chache za muda wa Rais kuweza kumpa hongera huyo mchezaji!!!
 
uploadfromtaptalk1452218680735.jpg
 
Mbwana Samata ndio bidhaa bora kabisa tuliyouza Watanzania tangu tupate uhuru, si dhahabu, almasi, tanzanite, misitu/wanyama, samaki wala gesi vilivyotupa heshima na faida.
Mkuu umehamia kwenye sports sikuhizi? Politics michosho enh? Kule amebakia Mmawia tu! nifah naye kakimbilia jukwaa la chit chat na celebrities
 

CAF Africa Award 2016 live; Announcement of The Player in East Africa;

N.B
Congratulations Mbwana Samatta.
 
rais ni wa wote acheni ujinga, unakuta mtu ana influence kuliko waziri kwa nini asiitwe ikulu,
 
hongera sana dogo, usivimbe kichwa, you still have a very long walk! Ndo kwanza unaanza. Bado wa-Tz tunategemea makubwa zaidi ya hapo toka kwako!
 
Highlights Mbwana Ally SAMATTA goals - Best african forward

 
Hongera Mbwana Samata, Ubarikiwe na wengine waige huo mfano wako wa kujituma!!
Big Up Mbwana, Bwn Mungu akulinde, Tanzania tunajivuna sasa!!
 
Hakika Juhudi zake zimeonekana wazi...Hongera sana Samatta
 
MBWANA SAMATTA AMESHAKUWA NEMBO YA TAIFA LETU....AMEKUWA KIELELEZO CHA TANZANIA KIMATAIFA NA KUTUFANYA WATANZANIA TUTEMBEE KIFUA MBEELE....HATA KWA MAJIRANI ZETU WAKENYA....HIVYO KITENDO CHA RAISI MAGUFURI KUMKARIBISHA IKULU...SIO TU KUTADHIHIRISHA THAMANI YA SAMATTA BALI KUTAONYESHA NI JINSI GANI TUNAVYOJALI NA KUTHAMINI MICHANGO YA WATANZANIA WENZETU WALIOFANIKIWA KULILETEA HESHIMA TAIFA LETU.....

NICHUKUE PIA NAFASI HII KUMPONGEZA MBWANA SAMATTA KWA HAPO ALIPOFIKIA KWANI SIO PADOGO HASA UKIZINGATIA NA MAENDELEO YA SOKA LETU....PIA NAMKUMBUSHA KUWA SIO KWAMBA AMEMALIZA BALI SAFARI NDIO KWANZA IMEANZA.....KWANI AMETUONGEZEA SHAUKU NA KIU YA KUMUONA SIKU MOJA AKINYAKUWA TUZO YA MCHEZAJI WA DUNIA.....

YOTE YANAWEZEKANA KATIKA JUHUDI, BIDII ,KUJITUMA NA NIDHAMU YA HALI YA JUU SANA KATIKA SOKA,,,,

PIA WANASOKA WANAOCHEZA LIGI YA NYUMBANI WASIBWETEKE NA KURIDHIKA NA LIGI YA NYUMBANI PEKEE WAWE NA KIU NA SHAUKU YA MAFANIKIO NA SAMATTA AMEONYESHA NJIA........

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI MBWANA ALLY SAMATTA......
 
Hana zali mbwAna,tuzo hiyo angeipata kipindi cha jk daaa ingekuwa bonge la shavu lakini huyu
 
Hataka akimualika kuna tatizo???
 
Back
Top Bottom