Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsahau Fibert Bayi !!!Mbwana Samata ndio bidhaa bora kabisa tuliyouza Watanzania tangu tupate uhuru, si dhahabu, almasi, tanzanite, misitu/wanyama, samaki wala gesi vilivyotupa heshima na faida.
Mkuu umehamia kwenye sports sikuhizi? Politics michosho enh? Kule amebakia Mmawia tu! nifah naye kakimbilia jukwaa la chit chat na celebritiesMbwana Samata ndio bidhaa bora kabisa tuliyouza Watanzania tangu tupate uhuru, si dhahabu, almasi, tanzanite, misitu/wanyama, samaki wala gesi vilivyotupa heshima na faida.
Yangahuyu referee anachezea timu gani?
Acha politic babuMbwana Samata ndio bidhaa bora kabisa tuliyouza Watanzania tangu tupate uhuru, si dhahabu, almasi, tanzanite, misitu/wanyama, samaki wala gesi vilivyotupa heshima na faida.
mbavu zangu!huyu referee anachezea timu gani?