SOLDIER GENIUS
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 358
- 241
Mkuu afu ule huzi wake tulio mpa madongo sihuoni sijui mods wameshaupiga mopaHuyo cleverbright ni msenge ! Wacha wanibe ban
Wakuu, muda huu nimefanya Update kwenye Wikipedia na utaona entry yangu paragraph ya mwisho link ifuatayo.
Natafuta picha yake niweke pia.
Hongera sana Mbwana Samatta.
Mbwana Samatta - Wikipedia, the free encyclopedia
Pata updates za tuzo za soka za bara la Africa. Ambapo kwa mara ya kwanza, Tanzania inawakilishwa na Mbwana Samatta.
Mbwana Samatta anatengeneza historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika wa ndani ya bara.
Samatta ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo jijini Abuja, Nigeria..
Mkuu afu ule huzi wake tulio mpa madongo sihuoni sijui mods wameshaupiga mopa
Mbona unauliza kama kibaka? Unatia shaka.Naombeni nijue tuzo hii ya Samatta inaambatana na kiasi gani cha pesa. Isije ikawa ni hicho kifaa tu bila pesa.
me nipo nae huku kaweka huzi wa kumsifia nampa za chemba tu..Wameutoa mkuu..
Niliamka alfajiri ili nimpe za chembe sema mods wakawa washaupiga panga