kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Safiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.
Why????Uliyrleleta mada una matatzo ya akl
He! Kumbe walivyo mzungusha mitaani akiwa na Nape walikuwa wanamzungusha raia wa Kongo?Samatta ni Raia wa Congo...Ba Mutu ya Lubumbashi
pumba.Hili ni swali tuu la kujenga ufikirishi. Jee hapa kwa muono wako nani ameonyesha kuwa anaipenda nchi yake toka moyoni ukizingatia wote wameitumia bendera ya taifa letu? Maana pengine mmoja wao anaitumia bendera ya Taifa kama zuga tumuone mzalendo sana.
View attachment 315905
Mbwana Samatta baada ya kupewa tuzo ya soka.
View attachment 315906
Mhe Mwigulu Nchemba katika harakati za shughuli zake za kisiasa.
Mbwana Sammata mzalendo hana haja ya kusikilizwa alompiga picha ni kwa raha zake, Mwigulu muigizaji, mara yeye kamaChe yule aliyepigana Cuba na hata kuja TZ akienda Kongo kinshasa akakuta Kabira Senior kumbe yeye alikuwa totos mtu akaona anapoteza time yake.(soma maisha ya Che utampenda huyu Daktari aliyeacha yote na utajiri wa familia akapigania watu wanaonyanyaswa}. Mwigulu please stop being an actor, tafuta nembo yako. Unapovaa kofia ki che, ukavaa skafu ki Che unachefua watu kama sisi wali0kuwa wanamapinduzi enzi hizo za sixtis. Tz hakuna mapinduzi. Ungekuwa mwana mapinduzi husingekubali jinsi utajiri wa nchi unavyoibiwa kitu ambacho Che alikipigania duniani mpaka anauawa. Viva Che Guevara!Hili ni swali tuu la kujenga ufikirishi. Jee hapa kwa muono wako nani ameonyesha kuwa anaipenda nchi yake toka moyoni ukizingatia wote wameitumia bendera ya taifa letu? Maana pengine mmoja wao anaitumia bendera ya Taifa kama zuga tumuone mzalendo sana.
View attachment 315905
Mbwana Samatta baada ya kupewa tuzo ya soka.
View attachment 315906
Mhe Mwigulu Nchemba katika harakati za shughuli zake za kisiasa.
Hapo ndio mwisho wako?pumba.
Ww unamfananisha samata na huyo mchafuzi mazingira iwe kwenye mawe miti eti mwigulu rais.. anafikiri TZ ni iramba!!Samata mzalendo halisi huyo mwingine yuko katika harakati za kuwalaghai wapiga kura
Ww unamfananisha samata na huyo mchafuzi mazingira iwe kwenye mawe miti eti mwigulu rais.. anafikiri TZ ni iramba!!