GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Mimi ninachojua Samatta ni mtanzania anayecheza soka nje, hivyo sote tumpongeze hapo alipofikia.

Kinachonishangaza huku kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa Simba wanawabeza wale wa Yanga ili wajione hawahusiki na furaha ya tuzo ya Samatta.

Inashangaza sana!
 
hadi raha hapa birthday pale tuzo hakika 7 jan ni siku nzuri kwake...
 
Kwa mara ya kwanza mtanzania anapata tuzo live

Tuzo nyingi hapa Tanzania ni questionable tunaonyeshwa kwenye magazeti
Mara utasikia jamaa muimbaji bora Africa au rais bora nk lakini mtoaji haeleweki au hajulikani'
 
Nyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.
 
Attachments

  • poppa+na+tuzo+on+bed.jpg
    poppa+na+tuzo+on+bed.jpg
    32.7 KB · Views: 59
Ni aibu kwa bara LA Afrika yaanj mfungaji anayeongoza bundesliga anakua mchezaji bora dhidi ya MTU ayetwaa kombe LA Afrika? Yaani kombe LA Afrika limedhalilishwa namna hii?
 
Mimi ninachojua Samatta ni mtanzania anayecheza soka nje, hivyo sote tumpongeze hapo alipofikia.

Kinachonishangaza huku kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa Simba wanawabeza wale wa Yanga ili wajione hawahusiki na furaha ya tuzo ya Samatta.

Inashangaza sana!
Unadhani mkia una akili kuliko kichwa!!!!!!!!!!
Tafakari
 
Mimi ninachojua Samatta ni mtanzania anayecheza soka nje, hivyo sote tumpongeze hapo alipofikia.

Kinachonishangaza huku kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa Simba wanawabeza wale wa Yanga ili wajione hawahusiki na furaha ya tuzo ya Samatta.

Inashangaza sana!
Avatar yako imejibu hoja yako
 
Kikosi bora cha mwaka 2015 #TuzozaCAF
KIPA: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo)
MABEKI: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen
ABDENNOUR (Tunisia), Mohamed MEFTAH (Algeria)
VIUNGO: Andre AYEW (Ghana), Yaya TOURE (Cote
d’Ivoire), Sadio MANE (Senegal), Yacine BRAHIMI (Algeria)
WASHAMBULIAJI: Mbwana Aly SAMATTA (Tanzania),
Pierre-Emerrick AUBAMEYANG (Gabon), Baghdad
BOUNEDJAH (Algeria)
Hamkuna msouth wala mmorroco yoyote?
 
...mmh; msije mkaleta akiwa chooni tafadhali!
 
Nyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.
Good
 
Back
Top Bottom