Pazmanian
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 984
- 1,350
Huo uzi kaanzisha jukwaa gani tumfate uko uko?me nipo nae huku kaweka huzi wa kumsifia nampa za chemba tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uzi kaanzisha jukwaa gani tumfate uko uko?me nipo nae huku kaweka huzi wa kumsifia nampa za chemba tu..
me nipo nae huku kaweka huzi wa kumsifia nampa za chemba tu..
kaweka kwenye sport forumHuo uzi kaanzisha jukwaa gani tumfate uko uko?
ndo nashangaaMbagala market watasemaje?
Unadhani mkia una akili kuliko kichwa!!!!!!!!!!Mimi ninachojua Samatta ni mtanzania anayecheza soka nje, hivyo sote tumpongeze hapo alipofikia.
Kinachonishangaza huku kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa Simba wanawabeza wale wa Yanga ili wajione hawahusiki na furaha ya tuzo ya Samatta.
Inashangaza sana!
hadi raha hapa birthday pale tuzo hakika 7 jan ni siku nzuri kwake...
Wema yupo tayari,atamkuta eapoti akimsubiri.akirudi bongo atafutiwe demu mzuri wa kumliwaza
Avatar yako imejibu hoja yakoMimi ninachojua Samatta ni mtanzania anayecheza soka nje, hivyo sote tumpongeze hapo alipofikia.
Kinachonishangaza huku kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa Simba wanawabeza wale wa Yanga ili wajione hawahusiki na furaha ya tuzo ya Samatta.
Inashangaza sana!
Mbagala market watasemaje?
Acheni kuchekeshando nashangaa
Hamkuna msouth wala mmorroco yoyote?Kikosi bora cha mwaka 2015 #TuzozaCAF
KIPA: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo)
MABEKI: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen
ABDENNOUR (Tunisia), Mohamed MEFTAH (Algeria)
VIUNGO: Andre AYEW (Ghana), Yaya TOURE (Cote
d’Ivoire), Sadio MANE (Senegal), Yacine BRAHIMI (Algeria)
WASHAMBULIAJI: Mbwana Aly SAMATTA (Tanzania),
Pierre-Emerrick AUBAMEYANG (Gabon), Baghdad
BOUNEDJAH (Algeria)
GoodNyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.