GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Nyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.

Mwambieni Pia Asije Kusahau Akienda Chooni Kushusha MAGOGO Yake Ya Ki Lubumbashi Akaenda Nayo Kwani Inaweza Ikatumbukia Humo Na Ikabaki Tu Kuwa Historia.
 
sasa vijana wetu wanapata role models wao hapa Tanzania, kwamba ukiwa na malengo yako, ukaweka nia, ukafanya bidii hakuna kitakacho kuzuia kufanikiwa ......Samata, Diamond, Vanesa, Matumlas, Idris, Richard,.....

Kwa wapenzi wa soka generation waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii na kuipenda soka hii ni zawadi kubwa sana kwao....at least mtoto akicheza mechi ya mchangani anaweza jiita na yeye Samata badala ya Neimar.....akipiga magoli sampuli yao
 
Hili ni swali tuu la kujenga ufikirishi. Jee hapa kwa muono wako nani ameonyesha kuwa anaipenda nchi yake toka moyoni ukizingatia wote wameitumia bendera ya taifa letu? Maana pengine mmoja wao anaitumia bendera ya Taifa kama zuga tumuone mzalendo sana.
ImageUploadedByJamiiForums1452372866.649878.jpg

Mbwana Samatta baada ya kupewa tuzo ya soka.
ImageUploadedByJamiiForums1452372925.946646.jpg

Mhe Mwigulu Nchemba katika harakati za shughuli zake za kisiasa.
 
Hili ni swali tuu la kujenga ufikirishi. Jee hapa kwa muono wako nani ameonyesha kuwa anaipenda nchi yake toka moyoni ukizingatia wote wameitumia bendera ya taifa letu? Maana pengine mmoja wao anaitumia bendera ya Taifa kama zuga tumuone mzalendo sana.
View attachment 315905
Mbwana Samatta baada ya kupewa tuzo ya soka.
View attachment 315906
Mhe Mwigulu Nchemba katika harakati za shughuli zake za kisiasa.
pumba.
 
Mbwana Sammata mzalendo hana haja ya kusikilizwa alompiga picha ni kwa raha zake, Mwigulu muigizaji, mara yeye kamaChe yule aliyepigana Cuba na hata kuja TZ akienda Kongo kinshasa akakuta Kabira Senior kumbe yeye alikuwa totos mtu akaona anapoteza time yake.(soma maisha ya Che utampenda huyu Daktari aliyeacha yote na utajiri wa familia akapigania watu wanaonyanyaswa}. Mwigulu please stop being an actor, tafuta nembo yako. Unapovaa kofia ki che, ukavaa skafu ki Che unachefua watu kama sisi wali0kuwa wanamapinduzi enzi hizo za sixtis. Tz hakuna mapinduzi. Ungekuwa mwana mapinduzi husingekubali jinsi utajiri wa nchi unavyoibiwa kitu ambacho Che alikipigania duniani mpaka anauawa. Viva Che Guevara!
 
Wote wazalendo kausa hakuna hata mmoja mwenye uzalendo wa kuchonga.
 
Samata mzalendo halisi huyo mwingine yuko katika harakati za kuwalaghai wapiga kura
Ww unamfananisha samata na huyo mchafuzi mazingira iwe kwenye mawe miti eti mwigulu rais.. anafikiri TZ ni iramba!!
 
Ww unamfananisha samata na huyo mchafuzi mazingira iwe kwenye mawe miti eti mwigulu rais.. anafikiri TZ ni iramba!!

Yaani Samata na huyo jamaa ni sawa na mbingu na ardhi.
Jamaa hawezi kuwa kama Samata
Samata kaitangaza Tanzania bureeeee
Lakini jamaa kapanda pipa mara nyingi na hajaitangaza Tanzania.
Sijui umeelewa!!!!!
 
Back
Top Bottom