GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

hongera sana, walikuwepo wengi ila walishindwa kufika hapo, keep it up
 
Ni habari njema sana kwa watanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, lakini ni fahari sana pia kwa timu ya TP Mazembe kwa kukikuza kipaji chake. Bila kuisahau Simba Sports Club kwa kumuibua akaonekana kimataifa.

Tuzo hii aliyoipokea leo ni ya kihistoria nchini kwetu na iwe kielelezo kwa vijana wanaocheza mpira wajitume zaidi.

Nothing is impossible to the willing heart.

Go Tanzania, go Samagoal!!
 
Bado tuzo za ubelijigi mwakani
ImageUploadedByJamiiForums1452204542.179624.jpg
 
Good job samatta njia ndio inaanza kufunguka hivyo kidogo kidogo Leo waliokuwa hawaijui Tanzania wameijua through your hard work
Keep it up boy na wengine waige
 
Kikosi bora cha mwaka 2015 #TuzozaCAF
KIPA: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo)
MABEKI: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen
ABDENNOUR (Tunisia), Mohamed MEFTAH (Algeria)
VIUNGO: Andre AYEW (Ghana), Yaya TOURE (Cote
d’Ivoire), Sadio MANE (Senegal), Yacine BRAHIMI (Algeria)
WASHAMBULIAJI: Mbwana Aly SAMATTA (Tanzania),
Pierre-Emerrick AUBAMEYANG (Gabon), Baghdad
BOUNEDJAH (Algeria)
 
Kwanza nimpe hongera Mmbwana Samatta kwa kutwaa hii tuzo ya mwanasoka bora wa ndani ya Afrika maana ndiye wa kwanza kwa watanzania.
Angekuwa mzee wa msoga ndio rais ningekuwa na uhakika kuwa Samatta angeitwa ikulu kupewa hongera maana wakina Diamond na Hasheem Thabit aliwaita ila kwa huyu Rais kutokea Chato mh inabidi amwalike kijana kajitahidi sana
ImageUploadedByJamiiForums1452205648.875988.jpg
 
Mbwana Samata ndio bidhaa bora kabisa tuliyouza Watanzania tangu tupate uhuru, si dhahabu, almasi, tanzanite, misitu/wanyama, samaki wala gesi vilivyotupa heshima na faida.
Yes!

No copy.


Mbwana Samatta: made in Tanzania.
 
African player of the year based in Africa goes to Mbwana Samatta (Tanzania) #GloCAFAwards2015
 
Pia wakuu Mbwana amepewa tuzo hii ikiwa pia ni siku yake ya kuzaliwa.

Happy Birthday kijana.
 
Back
Top Bottom