GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Hongera zake,juhudi,kujituma na nidhamu ndo ngao pekee ya mafanikio ya Samatta.Mungu mbariki Samatta,Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu umehamia kwenye sports sikuhizi? Politics michosho enh? Kule amebakia Mmawia tu! nifah naye kakimbilia jukwaa la chit chat na celebrities
Hehehe hawezi kuongea bila kudanganya sheria ya mtandao ina mbana sasa bora ahamie kwenye michezo
 
Sioni sababu ya kumwalika.. atamtumia salama za pongezi kwisha.. Magufuli ana mambo mengi ya kufanya..
Ingekua JK kwanza jana naye yeye angekua huko Nigeria.. na wangerudi wote kwenye kwa kutumia ndege ya Rais.. kisha leo kungekua na bonge la party ikulu.. angeamuru baada ya bunge kufunguliwa samatta akawasalimie wabunge... na leo ingekua public holiday...haaaa JK safi sana..
 
cleverbright mtu aliye bana pumbuuu ili Samatta asishinde kwa kudai ana ona mambo kwa kina na mapana yake na badaye kuaibika vibaya baada ya samatta kutangazwa mshindi njoo ujibu huku.. Pumbaaaavu
 
Wala sio Taifa Stars, ni kile chama!
 
Hongera samatta magoal
 

Attachments

  • 1452228883247.jpg
    1452228883247.jpg
    15.1 KB · Views: 45
Back
Top Bottom