Global Peace Index 2020: Kenya na Uganda zaporomoka nafasi 3, Tanzania yapanda nafasi 6

Amani na maendeleo ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23]
Amani inaweka mazingira mazur kwa maendeleo yoyote. Sasa wew sema tu havina uhusiano.

Ushawai sikia maendeleo yanakuepo sehem ya vita na migogoro kila wakati?
 
A weee!!unaweza ilinganisha sauz na tanzania
Amani inanafac kubwa sana kaitka maendeleo ya nchi na jamii.

Pia unatakiwa kufaham kwamba sio amani pekee ndio inaleta maendleo kuna other factors muhim kwenye kuleta maendeleo
Amani inaweka tu mazingira mazur kwa maendleo, lakn ikikosekana maendeleo huaribika zaidi.

Tulichopungukiwa watanzania ni physical infrastructures na uongoz bora nk. vya kufanya tuwe na maendleo zaid ya Sauth, but tunamazngira saf ya kutufanya tuendelee n juhud zet ss wenyew ndo zta determine level ya maendleo kulingansha na nchi nyingne.
 
Nairobi ukitembea na iPhone mkononi au hata kopo lolote tu la mawasiliano, una chances chini ya 5% kufika nayo unakoelekea, vibaka kule ni order of the day.

Tena wanawake ndio wataalamu
 
Amani inanafac kubwa sana kaitka maendeleo ya nchi na jamii

Pia unatakiwa kufaham kwamba sio amani pekee ndio inaleta maendleo kuna other factors muhim kwenye kuleta maendeleo
Amani inaweka tu mazingira mazur kwa maendleo, lakn ikikosekana maendeleo hualbika zaid

Tulichopungukiwa watanzania ni physical infrastructures na uongoz bora nk. vya kufanya tuwe na maendleo zaid ya Sauth, but tunamazngira saf ya kutufanya tuendelee n juhud zet ss wenyew ndo zta determine level ya maendleo kulingansha na nchi nyingne
Kinacholeta maendeleo ni watu, hizo Physical infrastructure hujengwa na watu na ndio sehemu ya maendeleo, tatizo kubwa la Africa ni "Human resource", lazima tubadilishe watu wetu wawe ni " development oriented people" kama walivyo wachina, sio hawa wanaothamini "Social" zaidi kuliko uchumi.
 
Kenya bana wapo kwenye dunia yao kabisa mabwana zao hùko ulaya wanaondoa curfew na partial lockdown na wana reopen school ila still wao wamengangana na mass testing,
Hawa walichukua mpunga mrefu toka kwa beberu kisha wakaupitisha kusikojulikana..sasa inabidi wawasulubu raia kwa curfew na lock down za kutosha ili angalao kuzugia matumizi ya huo mshiko.

Wananchi nao wameshitukia dili, wanapiga kelele mbaya kabisa.

Hawa mpaka watie adabu mwaka huu.
 
Amani inanafac kubwa sana kaitka maendeleo ya nchi na jamii

Pia unatakiwa kufaham kwamba sio amani pekee ndio inaleta maendleo kuna other factors muhim kwenye kuleta maendeleo
Amani inaweka tu mazingira mazur kwa maendleo, lakn ikikosekana maendeleo hualbika zaid

Tulichopungukiwa watanzania ni physical infrastructures na uongoz bora nk. vya kufanya tuwe na maendleo zaid ya Sauth, but tunamazngira saf ya kutufanya tuendelee n juhud zet ss wenyew ndo zta determine level ya maendleo kulingansha na nchi nyingne
Mnatangaza amani huku mmeficha mapanga, jiulize kw nn wawekezaji wanakimbia.
 
Mnatangaza amani hku mmeficha mapamba, jiulize kw nn wawekezaji wanakimbia
Waliosema Tanzania imepanda nafasi sita juu na kufikia namba 52 duniani kwa amani, wakati Kenya imeangukia pua kwa kuporomoka nafasi 3 chini na kufikia 125 duniani, ikiwa imebakish nafasi 36 tu kuwa nchi ya mwisho duniani, sio sisi ni "Global Peace Index", hatukujitangaza wenyewe

Karibu sana katika nchi ya umoja, amani na utulivu, upendo, nchi ambayo tunatumia makabila yetu kwa ajili ya kutaniana, nchi ambayo huna wasiwasi wa kuvamiwa usiku hata kama hujafunga milango ya nyumba yako, Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.
 
Amani gani mlionayo nyinyi wanafiki wakubwa, watz mna unafiki wa hali ya juu.

Ile siku mtatupilia sera senu mbovu za kijamaa nchi itainuka, lkn kw sasa kila mtu anaogopa kuja hko manake kikinuka tu CCM inampora.
 
Nenda marekani jomba, ukifika utashangaa lkn bado wao ndio vinara
Hapana Amani na Maendeleo vinaenda pamoja_ America have been enjoying centuries of Peace, Their level of acting to a Terror act call is at Maximum, They only face minor social threats like killings but still it doesn't go days without bringing a killer to Justice.
 
Amani gani mlionayo nyinyi wanafiki wakubwa, watz mna unafiki wa hali ya juu.
Ile siku mtatupilia sera senu mbovu za kijamaa nchi itainuka, lkn kw sasa kila mtu anaogopa kuja hko manake kikinuka tu ccm inampora
Hahahaha, Ujamaa ndio uliotufanya tukapa Amani na umoja, na ninyi ubepari ndio umewafanya mnachinjana kila siku, ubepari ndio uliosababisha ukabila na slums.

Karibu sana uje ujionee jinsi watu wanavyoishi bila kujuana makabila yao, bila kusikia tukio la ujambazi au kuvamiwa na wezi mtaani. Karibu katika nchi ya maziwa na asali.

125 - 52 = 73
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti hko watu hawavamiani wala hakuna wizi na ujambazi.

Umelipwa shingapi leo, manake naona unadanganya kimataifa
 
joto la jiwe,

Mpaka sasa sijajua katiba mpya sijajua inawasaidiaje Wakenya. maana kadiri muda unavyoenda, mambo ni yale yale. labda katiba mpya inasaidia kuongeza nafasi za ajira kwa familia za wenyekenya (na si kwa Wakenya).

Ukiangalia kwenye jedwali, kenya belongs to the club of country of dhofu bin hali.
 
Mnatangaza amani huku mmeficha mapanga, jiulize kw nn wawekezaji wanakimbia.
Hahahaaa kukimbia kwa mwekezaji kunasababishwa na sababu nying sana, ikiwemo ya kiuchumi sera ya nchi imeweka mazngira gani kwa wawekezaji, miundominu mfano barabara na nishati inaeza vutia au fukuza mwekezaji,

Nikuulize tu, je kwahao waliokimbia walsema ni kwasababu ya amani au wew ndio unafikir kutokuepo kwa aman ndio kumewafanya wakimbie
 
Hahaha!!km hujaelewa tulia baba
 
Back
Top Bottom