mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
1.Hata Waturuki wanaowajengea Barabara na SGR wako nafasi ya 150.Tuliwaambia siyo Wakenya tu watakaotii huu mwaka hadi mabeberu watatii sasa wanatii hadi kwa usalama Wa corona
2. Brazil waliowasamehea Deni lenu wako 125.
3. Kiongozi wenu was Sadc, South Africa yuko 123 na huko ndio Magufuli alikuwa akiomba madawati.