Watoto wa sekondari hao kakaRais wa sasa wa South Africa ni pro western.
Ila JF Ina Wajinga sana ni ama watu hawafatiliii siasa, yaan siasa wanaijua Kwa juu juu kupitia Taarifa ya Habari.
Kwa mfano .. Mtu akisikia Kwa Taarifa ya Habari " Urusi yatuma Manowari Nchini Cuba "....
Basi ndo hapo anakuja na hiko kijihabari !!.
Jipe muda wa Kusoma na kufatilia mambo kiundani.
SA wako Ndani ya BRICS , ANC ni chama Mama, chama kinachoamin katika BRICS , Rais wa Sasa wa Afrika Kusini, ni Moja ya Ma Rais wanaowapiga nyundo za uhakika Wamagharibi.
Naam ndio maana unaona wako mbele kwenye vita ya kisheria dhidi ya Isarel.
Fatilia Speech za Cyril Ramaphosa kuhusu Wamagharibi, fatilia Safari za kimataifa alizofanya Ramaphosa kaenda zaidi Nchi gan.
Afrika Kusini ni Nchi ambayo bado kumbukumbu za Ukoloni ziko vidoleni mwao , hivo ni ngumu Kwa Mgombea u Rais ambaye ni mfuasi wa Magharibi, kushinda uchaguzi !!.
Zuma, Ramaphosa, Hawa wote ni Warusi.
Huna akiliRais wa sasa wa South Africa ni pro western.