Wote kwenye hiyo conspiracy theory yako nI US based. Kitu ambacho nyie NWO hawkish mnajochanganya mnakubaliana kwamba baada ya hiyo NWO kukaa sawa PAPA wa Roma ambae sio mmarekani ndio atakuwa TOP. Yaani the cheif Antichrist being the Pope, ndio anabeba ile 666. Mnajichanganya, pia Covid 19 vaccine inatekeleza huo mpango kutokana na maelezo yako kwa hiyo team iliyopo US.
Yaani control center huko US na global tracking and control thru the various vaccines.
Sasa umesahau au hujui kwamba nchi hizi hapa chini ni baadhi ya nchi zimegundua na zinachanjo zao. Hawako connected ma Bill Gates & company.
We jichanganye utakuta unalala mchana unamka usiku kwenda job.
Ina maana nchi zote hizi hazitakamatika na hiyo theory yako.
Country | Is the country producing one or more
WHO prequalified vaccine? |
| Australia | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Belgium | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Brazil | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Bulgaria | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Canada | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| China (People's Republic of) | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Cuba | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Denmark | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| France | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Germany | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| India | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Indonesia | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Islamic Republic of Iran | Not producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Italy | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Japan | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Mexico | Not producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Netherlands | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Republic of Korea | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Russian Federation | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Serbia | Not producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Sweden | Producing WHO prequalified vaccine(s) |
| Switzerland | |
[/QUOTEis, Mjinga wewe!The WHO ni co-conspirator na hizo nchi zote ulizozitaja are producing the GMIs under lisence.The baseline however is, they are all killer shots.Jamani hakuna siri tena, people are maimed, people are dying.