Glock 17 kama ya Sabaya

Glock 17 kama ya Sabaya

Misifa ya kijinga....acha ale 15 clean akate rufaa akaachiwe high court
 
Hawa wakuu wa Wilaya wapimwe akili.
Jana alisema hamjui aliyemuapisha.
Leo ndio nimeona wanamuandalia maneno kabisa ya kabisa ya kujichomoa na hii kesi. Eti jana alivyosema hamjui mkuu wa mkoa aliemuapitisha,leo wamerudia ili alisahihishe hiyo nafasi.
 
Glock zipo utafikiri toy,nazikubali sana revolver
IMG_20210819_225702_766.JPG
 
Back
Top Bottom