Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

Mkuu unataka kusema kipindi hicho hiyo kitu haikuwepo?
 
Mleta mada nipo ktk hali kama aliyokua nayo mtunzi wa hiyo nyimbo(kibuti).

Acha niutafute niusikize nione nini kitatokea.

ILA DHAMBI NI ZAKO MKUU.
Mkuu mshinde ibilisi, akikutenda mmoja wapo wengine kibao huko nje, there so many fishes in the pond!
 
mkuu watu wataanza kujinyonga huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…