Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

Nyuma ya huo wimbo kuna ushawishi mkubwa sana wa roho ya mauji, maana ndio roho iliyo mvuvia na kumshawishi kutunga huo wimbo.. Kwaiyo nyuma yake kuna hiyo spirit mtu akiaikiliza kama tujuavyo wimbo ni roho basi ndio hivyo
Umeusikiza?
 
Nimeusikiliza huo wimbo mara kadhaa kwa version zote mbili (Hungarian na Kiingereza). Kilichoimbwa kwenye huo wimbo kina maudhui ya mtu aliyefiwa na mpenzi wake na anataka kujiua ili ajiunge nae huko alipokwenda. Hata hivyo, kwenye comments za watu huko youtube licha ya kwamba wamekiri huo wimbo unasikitisha wengi wameupenda.

Comment: kama umeumizwa vizuri na mapenzi, hata ukisikiliza nyimbo za MARIOO unaweza ukajitundika.
 
Back
Top Bottom