Sasa si angevuta mpaka mwisho tu kuliko kuweka hiko kinguzo?View attachment 2035813
Fundi maiko angedesign vizuri hapo chini frame zingeanzia jengo lingekuwa la ghorofa mbili au hata parking au godown, akaona aitafutie level barabarani ndio aanze floor ya kwanza
Kabisa. Huu ulikuwa utani kabisa, inaonekana mawazo ya kuongeza floor lilikuja baada ya foundation na column kujengwa, huu ni uhuni mkubwa sana. Maisha ya watu yameenda bure kabisa kwa uzembe wa kijinga sana.Hujaona vaccum iliopo baina ya floor na msingi! Yani ni kama hapakushindiliwa vizuri watu walijaza kifusi tu bila kukishindilia[emoji28]...”Ghorofa la Mchongo”
Basi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka😅Kabisa. Huu ulikuwa utani kabisa, inaonekana mawazo ya kuongeza floor lilikuja baada ya foundation na column kujengwa, huu ni uhuni mkubwa sana. Maisha ya watu yameenda bure kabisa kwa uzembe wa kijinga sana.
Maisha ya wanadamu ni kitu cha thamani sana
Hii ndiyo faida ya fundi michael. Yeye hajui moment wala axial load.Basi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka[emoji28]
Hahahahahah jamaa amezingua sana😅 sema pangekuwa pashafunguliwa ingekuwa hasara mara 100% sababu na bidhaa za watu zingeharibika imagine na mkeo ana frame hapo doh ungekuwa umepoteza mke tayari😎Hii ndiyo faida ya fundi michael. Yeye hajui moment wala axial load.
Maana Wahandisi tunaonekana hatujui kazi.
Shortcut is the longest way to sucess.
Huyo mmiliki adhabu nzuri ni kulipa fidia na kufilisia kabisa. Unaona kabisa column concrete ratio yake ni ndogo sana ila slab iko vizuri sana.
Kwa hiyo yeye alidhani mzigo wa jengo unabebwa na slab
Wengine huwa wanalazimisha kupunguza gharama, matokeo yake ndiyo hayo. Lakini lawama kubwa ziende kwa Engineer kwani yeye ndiye mwenye utaalamuMwenye nyumba ni kumwonea tu katika utaratibu wetu ule ule
Magorofa mengi kkoBasi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka😅
Hio ndio ile unaambiwa nondo za milimetre 12 ndio zinatakiwa ila unakuwa tight on budget! Fundi anasema hata tukitumia za 9mm tunaweza tukafosi na zege jingi haina shida[emoji28]
Sijuwi kama hata kama injinia wanayeWengine huwa wanalazimisha kupunguza gharama, matokeo yake ndiyo hayo. Lakini lawama kubwa ziende kwa Engineer kwani yeye ndiye mwenye utaalamu
Ma foreman wengi wa bongo wako vzrHuyo ameshusha hadhi ya engineers wengi tu
Yaani unaona bora utafute mwenye uzoefu na aliekutana na changamoto nyingi kuliko mwenye kalamu
Ma foreman wengi wa bongo wako vzr
Wanajifunza vitu vingi site
Ova
🤣🤣🤣🤣Walitakiwa kutoa report police kwamba wana mashaka na aina ya ujenzi jirani na makazi yao, nyumba ingepigwa stop mpaka tathmin ifanyike
Sio tu uzembe wao ila sisi wote tuna ile kawaida ya kusema watajua wenyewe wenye nyumba, kwamba ikianguka ni juu yao wenyewe kumbe ikianguka inaua wengine wasio husika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majirani walitakiwa kuripoti siyo.......Aisee, wazembe sana.
Okey mkuuSio tu uzembe wao ila sisi wote tuna ile kawaida ya kusema watajua wenyewe wenye nyumba, kwamba ikianguka ni juu yao wenyewe kumbe ikianguka inaua wengine wasio husika