Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Innalillah wainnaillah rajiuun, mabosi wajitahidi kutumia wataalamu katika kazi waache yale mambo ya "fundi wangu atajenga"

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Hujaona vaccum iliopo baina ya floor na msingi! Yani ni kama hapakushindiliwa vizuri watu walijaza kifusi tu bila kukishindilia[emoji28]...”Ghorofa la Mchongo”
Kabisa. Huu ulikuwa utani kabisa, inaonekana mawazo ya kuongeza floor lilikuja baada ya foundation na column kujengwa, huu ni uhuni mkubwa sana. Maisha ya watu yameenda bure kabisa kwa uzembe wa kijinga sana.
Maisha ya wanadamu ni kitu cha thamani sana
 
Basi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka😅
 
Basi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka[emoji28]
Hii ndiyo faida ya fundi michael. Yeye hajui moment wala axial load.
Maana Wahandisi tunaonekana hatujui kazi.
Shortcut is the longest way to sucess.
Huyo mmiliki adhabu nzuri ni kulipa fidia na kufilisia kabisa. Unaona kabisa column concrete ratio yake ni ndogo sana ila slab iko vizuri sana.
Kwa hiyo yeye alidhani mzigo wa jengo unabebwa na slab
 
Hahahahahah jamaa amezingua sana😅 sema pangekuwa pashafunguliwa ingekuwa hasara mara 100% sababu na bidhaa za watu zingeharibika imagine na mkeo ana frame hapo doh ungekuwa umepoteza mke tayari😎
 
Mwenye nyumba ni kumwonea tu katika utaratibu wetu ule ule
Wengine huwa wanalazimisha kupunguza gharama, matokeo yake ndiyo hayo. Lakini lawama kubwa ziende kwa Engineer kwani yeye ndiye mwenye utaalamu
 
Basi jamaa bora angevuta zege hadi mwisho kabisa! Sasa yeye kaachilia mguu wa wema ubebe mzigo wa sanchoka😅
Magorofa mengi kko
Hayana ubora!
Nakumbuka lile gorofa lililo shuka mitaa ya City
Centre likiangukia nyumba kadhaa na kuaa
Kuna jamaa yangu alikuwa na office ya clearing
Pona yao walienda kula lunch
Wangebaki nao wangefyekelewa mbali

Ova
 
Hio ndio ile unaambiwa nondo za milimetre 12 ndio zinatakiwa ila unakuwa tight on budget! Fundi anasema hata tukitumia za 9mm tunaweza tukafosi na zege jingi haina shida[emoji28]

Huyo ameshusha hadhi ya engineers wengi tu
Yaani unaona bora utafute mwenye uzoefu na aliekutana na changamoto nyingi kuliko mwenye kalamu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majirani walitakiwa kuripoti siyo.......Aisee, wazembe sana.
Sio tu uzembe wao ila sisi wote tuna ile kawaida ya kusema watajua wenyewe wenye nyumba, kwamba ikianguka ni juu yao wenyewe kumbe ikianguka inaua wengine wasio husika
 
Hapa frame moja laki tano kwa mwezi, jamaa alikua anakaribia kuuaga umasikini.
 
Back
Top Bottom