Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Hili linaweza kutokea kwenye majengo ya madarasa ya "pesa za IMF".
 
Uzito mkubwa umewekwa kwa nguzo ambazo haziwezi kubeba mzigo wa ghorofa mbili.
Mbona Hueleweki.. au Unataka kujimwambafy Fundi Maiko...
Na umerudi pale pale, Back to Basics.....Beam Deflections

Na hio Finite Element Analysis GIF ni illustarion tu ya kuonyesha hizo RED colored areas kwenye hizo foundation beams ndio zinaashiria kuwa stress kubwa....
 
Back
Top Bottom