Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Nimenunua kiwanja kwa mkorea...
Square meter 1 kwa 40,000/=, bei ghali kuliko kiwanja cha madale (madale ni 35,000)

Huyo jamaa anaongea asiyoyajua
 
Goba pazuri mno.
nikikatiza zangu makongo dk10 niko mlimani city.
dk 15 niko mikocheni
dk25 niko sea cliff
popote nafika kwa wepesi, goba iko center sana.
 
Kigamboni ni bora kwa kuwa ni jirani kufika maeneo ya huduma za kijamii kama ofisi za kiserikali, Kariakoo sokini na mahospital kama Muhimbili na pia ni thamani ya maeneo ni kubwa kuliko Goba mfano Kigamboni maeneo ya Chuo cha Mwalimu na usalama ni mkubwa sana kwa kuwa unakuwa jirani na jeshi la maji, na pia upatikanaji wa Maji Kigamboni ni kuanzia mita 10 wakati Goba kisima kifupi ni mita 80. Na mifumo ya umeme wa ziada kama umeme wa jua na wa upepo mdogo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ni rahisi kuweka Kigamboni kama ukipata eneo kubwa . . . . Yaani kuna uzuri mkubwa sana Kigamboni kuliko Goba
 
Karibuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm 350

2 hiki Ni Ml 10 ukubwa Ni sqm 600

3 Ni sqm 890 Bei ML 25
Kwa picha zaidi na maelezo pia kwenda
 

Attachments

  • IMG_20221109_125340_317.jpg
    3 MB · Views: 83
  • IMG_20221026_112650_724.jpg
    2.5 MB · Views: 75
0715053339
 
Nakumbuka way back wakati naishi kimara mwisho mtu anaekaa goba tulikuwa tunamwona mashamba sana maana palikuwa pori kweli kweli kunatisha misitu na vichaka tu.

Nikipitaga goba huwa nacheka sana nikikumbuka vichaka vya zamani
Mie niliwahi kupakataa kuna mzee mmoja alinionyesha kiwanja makongo juu kilikuwa na bonde kali nikakikataa akanipekeka kingine Goba kilikuwa poa ila niliona pamekaa kushoto nikachomoa. Muda unaenda kasi sana leo pako tofauti

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Aisee ila kibada kuna mijengo ya hatari balaaa ,yaan kila anayejenga wa moto .Hivi huwa wanashituana wakishua tu wakanunue sehemu moja ?
 
Dar inapanuka na kukuwa sana. Sijui Kigamboni ingekuwaje endapo Serikali ingesema imeamua jenga ofisi za wizara Kigamboni
 
Dar inapanuka na kukuwa sana. Sijui Kigamboni ingekuwaje endapo Serikali ingesema imeamua jenga ofisi za wizara Kigamboni

Hii ingekua bonge la plan na kuondoa msongamano mjini wizara zote kigamboni ndio hivo tena plan zetu
 
Ahsante kwa maelezo haya ya kina!
 
Nahitaji kiwanja goba kisiwe chini ya 25 kwa 25. Nileteeni offer. Na kiwe eneo tambarale sio eneo lina miinuko kama tupo milima ya upareni
Goba kubwa, kuna mtaa unaitwa muungano, yupo jamaa amegawa shamba lake 30x30 unapata, pesa uwe nayo. Ni pm kwa maelezo zaidi. Kama huyajui maeneo hayo, neñda ka-sarvey kwanza. We uliza serikali ya mtaa wa muungano Goba ipo wapi. Nenda maeneo yale. Ukipenda sasa ni mp kwa maelezo zaidi. Umeme upo, mabomba ya maji Dawasco yapo mita chache kutoka site.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…