Nimenunua kiwanja kwa mkorea...Hivi unapajua Kigamboni au unasimuliwa? Tangu Zamani kabla ya daraja pantoni ni 24/7.
Pili Kigamboni hata uswahilini 20x20 kiwanja hupati chini ya 10m. Kuna seems panaitwa kwa mkorea viwanja 35,000 /sqm. Hata 30km kutoka Ferry hupati kiwanja chini ya 10,000/sqm.
Tembea uone acha kujificha huko kwenye mabonde ukifikiri ndio sehemu nzuri kuliko zote Dar.
Square meter 1 kwa 40,000/=, bei ghali kuliko kiwanja cha madale (madale ni 35,000)
Huyo jamaa anaongea asiyoyajua